Tetesi: Safisha safisha yaanza serikalini na idara zake

Tetesi: Safisha safisha yaanza serikalini na idara zake

Mkuu hii sio ramli chonganishi?



Stay tuned mwingine anaondoka kesho jioni[/QUOTE]
 
Ninezipata sehemu
Kufuatia watu kumwangusha mkuu kwa sekta mbali mbali kuanzia

1.Ubalozi
2. Uwaziri
3. Ukatibu Mkuu
4. Ukuu wa mkoa
5. Ukuu wa wilaya,

Sekta hizo zitaguswa sana, watapukutika watu kibao, tunaanza na kanda ya hapo juu kuna wawili wanalazimika kukalishwa chini,

Hii imetokana na yafuatayo
Matamko yanayokinzana na serikali,
Matamko yanayodhihaki na kudhalilisha wengine
Utendaji mbovu unaokwamisha serikali ya viwanda,
Yaan Ole wako uwe umeshawashiwa indicator na msemaji fulani mwenye magazeti yake,

Stay tuned mwingine anaondoka kesho jioni
Mkuu katika hili la matamko yanayo kinzana na serikali vipi mtoto mpendwa atapona.
 
. Ukuu wa mkoa
Mkuu wa mkoa wa Dar Paul Makonda afukuzwe kazi ili kuiokoa serikali hii ya chama cha mapinduzi huyu jamaa anaizamisha meli yetu kwa kutumia tindo na nyundo kama ilivyo ile nembo ya kwenye be ndera.
 
Kama safisha safisha inakuja sasa ile Singo ya kutumbua majipu, wafanyakazi hewa, mishahara hewa na vyeti fake miaka 3 tuiite Chafua Chafua.?
Jamani hata kukamua jipu au kutumbua jipu kunahitaji utaalamu! Hivi ukimwona nesi anakuosha kidonda au anakukamua jipu unafikiri hakusomea?
 
Mimi sijaona mahali kanyanyasa Mtu, zaidi tu ya lile tukio la kumwambia yule Mama "huwezi kunijibu mimi hivyo"
Mpakahapo ushaji contradict tayari.

Hujaona au umeona?
 
Back
Top Bottom