Tetesi: Safisha safisha yaanza serikalini na idara zake

Tetesi: Safisha safisha yaanza serikalini na idara zake

tujalibu kuangalia hili lakua rais kuweka mawazari kwenye sekta kwa muda nakutaka kuya fanikisha yale atakayo kwa muda mfupi pasi ya kuwa wamejijengea misingi na miongozo mizuti ili kufikia malengo j sasa je ni madhara kiasi gani yatatokea juu ya ya huu uteuzi .....?
 
Ninezipata sehemu
Kufuatia watu kumwangusha mkuu kwa sekta mbali mbali kuanzia

1. Ubalozi
2. Uwaziri
3. Ukatibu Mkuu
4. Ukuu wa mkoa
5. Ukuu wa wilaya,

Sekta hizo zitaguswa sana, watapukutika watu kibao, tunaanza na kanda ya hapo juu kuna wawili wanalazimika kukalishwa chini,

Hii imetokana na yafuatayo
Matamko yanayokinzana na serikali,
Matamko yanayodhihaki na kudhalilisha wengine
Utendaji mbovu unaokwamisha serikali ya viwanda,
Yaan Ole wako uwe umeshawashiwa indicator na msemaji fulani mwenye magazeti yake,

Stay tuned mwingine anaondoka kesho jioni




UPDATE

Kaimu Mkurugenzi Mkuu COASCO atumbuliwa rasmi. - JamiiForums

UPDATE
Rais Magufuli afanya mabadiliko Baraza la Mawaziri; Mwijage nje, Waitara ndani - JamiiForums

Waziri mwijage nje
Charles Tizeba nje
Inafurahisha maana ma home boy ndio wanao muangusha jamaa.
Huku Chizeba, juku Mwijage , huku yule binamu aliye kuwa mambo ya ndani..... Nk.
Kisa ni ukoo wote upewe madaraka na kiwasubirisha walio endelea... Funny
 
Back
Top Bottom