Sahau kuhusu kufuzu, hakuna timu itakayopata goli huko ugenini Cairo & Pretoria

Sahau kuhusu kufuzu, hakuna timu itakayopata goli huko ugenini Cairo & Pretoria

Muda ni hakimu wa kweli hutoa majibu ya haki siku zote.

Naupenda sana Muda.
Leo simba wanaaibika kwa Dharau walizotufanyia enzi za senzo

Muda umewaumbua
Aibu yao
 
Mamelod 2- 1 yanga..... .
Aly Ahly 4- simba 0
 
Mwaka jana ilikua kila timu inayokutana na Yanga ni mbovu na Yanga ilishiriki mashindano ya looser. Mwaka huu ilipofanyika draw ya makundi wakasema makundi yataisha vile kama yalivyopangwa ilikua hivi

Al Ahly. Kolouzdad, Yanga & Medeama mwisho wakaishia kuumbuka wao.

Akaja Sundowns mkasema huyu dubwana hana cha ugenini wala nyumbani kokote anakupiga amekuja Dqr kapata sare, sasa mnabadilika kila siku na Yanga hachoki kuwashangaza. Muhimu sisi tunawaomba muendelee kushikilia hapohapo na hivyohivyo mpaka msimu unaisha
 
Mapacha wana hali ngumu japo mashabiki wana imani watafuzu. Tusahau kuhusu kufuzu, hakuna timu yoyote ya kariakoo iyakayopata goli huko Cairo au Pretoria! Uzuri Ijumaa sio mbali…
Sema Simba wana hali ngumu usituweke sisi humo kwenye hio hali
 
Mapacha wana hali ngumu japo mashabiki wana imani watafuzu. Tusahau kuhusu kufuzu, hakuna timu yoyote ya kariakoo iyakayopata goli huko Cairo au Pretoria! Uzuri Ijumaa sio mbali…
Naaam
 
Back
Top Bottom