Mwaka jana ilikua kila timu inayokutana na Yanga ni mbovu na Yanga ilishiriki mashindano ya looser. Mwaka huu ilipofanyika draw ya makundi wakasema makundi yataisha vile kama yalivyopangwa ilikua hivi
Al Ahly. Kolouzdad, Yanga & Medeama mwisho wakaishia kuumbuka wao.
Akaja Sundowns mkasema huyu dubwana hana cha ugenini wala nyumbani kokote anakupiga amekuja Dqr kapata sare, sasa mnabadilika kila siku na Yanga hachoki kuwashangaza. Muhimu sisi tunawaomba muendelee kushikilia hapohapo na hivyohivyo mpaka msimu unaisha