Sahihi kusema Arusha ndio Jiji bora Tanzania?

Cha kujivunia ni climate peke yake otherwise ndio Jiji la watu washamba na wasiojielewa
Mtu akinunua IST na simu kubwa anajiona yeye ni bonge la tajiri
Anafunga Barabara mpaka amalize kuongea na simu yake nyie mko hapo nyuma mnapiga honi tu
Haha utakuwa mshamaba wewe, watu wote wana Ist?
1. Arusha ndio matajiri wote unaowajua Tz wamewekeza kuanzia madini hadi utalii.
2. Arusha ni mkoa ambao wazawa wake wana nyumba bora na za kisasa...zingatia wazawa.
3. Arusha ndipo mataifa mengi yanatembelea na kuishi.
Kimsingi Arusha ni mji wa kifahari kuliko mji wowote Tz.
 

Unavyojitapa sasa 🤣🤣🤣🤣🤣,,,ukitoka hapa unaanza kumponda mama Samia oh hali ya maisha ngumu, vitu vimepanda bei, ajira hakuna mara cjui nini. acha ku2ongopea bwana, wadanganye huko huko kijijini kwenu arusha🤣🤣🤣
 
ndio maana nimeona hata nisiwajibu wengine nimegundua wengi hawaijui Arusha wanaiskia kwenye redio tu 🤣
 
Ni kweli ukisemacho... Ila kwa njia ya gari za morombo mpaka intel, lami inaishia boston car wash, icho kipande mpaka unapita mizani mpaka round bado ni vumbi tu, japo tayar kuna kibao cha ujenzi!
ile ni barabara ya tanroad babu ambayo inawekwa lami hadi dodoma kupitia simanjiro ndio maana umeona kile kipande kidogo hadi barabara ya east afrika wamekiacha
 
Jibu ni ndio
 
Hebu shika adabu yako mkuu! Kwa hiyo Arusha iipiku Dar kwa ufahari au? Aaaaah be serious! Ni Dar ujue, sio Darful! DSM baba lao, yaani kwa hapo umepuyanga.
 
Mimi cwezi bishana na wewe, kujicfu c ndiyo kawaida yenu bwana so hutanielewa, so bakia na kiarusha chako ukalinganishe na mbeya na co dom inayokuwa kwa kasi.

Dar
Mwz
Me nilishaacha kubishana nao hao watakupotezea muda tu ukweli ni kuwa Arusha haina hadhi ya kuwa jiji ni siasa uchwala ziliingilia kati, nimekuja kuona watu wakaskazini huwa wana wivu na chuki dhidi ya Mwanza so relax mkuu.
 
ndio maana nimeona hata nisiwajibu wengine nimegundua wengi hawaijui Arusha wanaiskia kwenye redio tu 🤣

Manyara vipi mzee ipewe na yenyewe jiji? 🤣🤣 mnachekesha sana, eti ka moshi kanastahili kuwa jiji pia, huwa mnaongea mkiwa wapi lakini?


Bac arusha inaongoza Tanzania, umefurahi sasa ee, nickufanye ushindwe kulala.
 
Mdazi unapuyanga sana kiongozi na unachoongea huna uhakika nacho.
 
Arusha pagumu sana asikwambie mtu, ukiweza kuishi Arusha hakuna mji utashindwa kuishi Tz.

Arusha, Moshi ni sehemu zinazokimbiza wageni hili lazima mgeni ukija ulijue, ni home town ila kwa mgeni ujipange sana.
 
wamepaboresha mno sasa hivi barabara nyingi ni lami tu
kuanzia mjini hadi ngusero
mjini hadi njiro atomic
chekereni hadi usa
barabara zote za levolosi ngarenaro na makao mapya sasa ni lami tu
karibu tena Arusha hakika utapapenda sana
Arusha hamna kitu hapo nmeishi miaka miwili tembea uone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…