Sahihi kusema Arusha ndio Jiji bora Tanzania?

Kwahiyo kama wakazi wake wengi ni wakristo inasaidia nini!!! Udini unakusumbua kijana
Kifupi kwenye wakristo wengi maendeleo huwa makubwa sana, mfano mwanza, mbeya, arusha, dar, hata iringa sasa hivi kumebadilika sana huwezi kufananisha na mtwara au tanga, pwani ni hovyo ingawa kuna viwanda😂😂🤣🤣🤣🤣 inagawa sina maana ya udini ila nimefanya research na ni ukweli
 

Nani kakuambia dar ina wakristo wengi? Pwani yote, dar mpaka tanga waislamu ni wengi sana,,, ukienda singida, tabora, bukoba na hata kigoma pia waisilamu ni wengi sana.

Mwanza na Shinyanga pia waislamu wengi labda kama hutembei ukajionea, na kama unataka kujua waisilamu ni wengi tembelea misikiti yote siku za ijumaa, ramadhani na idi, uone. Na kadiri siku zinavyoenda watu wanasilimu kwa maana wanatoka kwenye ujinga wanaingia kwenye ukweli/haki.

Kwa Tanzania sio chini ya 80% ni waislamu.
 
Pengine labda sijatembea sana Arusha,lakini kote nilikopita hakuna maajabu sana na mitaa mingi barabara zake ni mbovu sana,najiandaa kwenda tena this May nataka nikazunguke sehemu nyingi kidogo.
Uzuri haujifichi 👇

 
Mimi ninafanya kazi hapa Arusha since 2009,na nyumbani kwangu ni Mwanza, msiwe mnawajaza watu ujinga mwingi usio na maana, hapa ni eneo la kawaida sana, na ukitaka kujua, nibuwe na kumbukumbu ya kipindi cha Corona, Arusha ilisimama ikawa kama Kijiji, Kwa sababu moja tu utalii, lakini ilikua ukienda eneo kama Mwanza maisha yanaendelea Kwa sababu ya Madini, uvuvi na kilimo, Mwanza ni mji unahudumia mikoa yote ya Kanda ya ziwa, kidogo Kagera ndiyo inachanganya kupata huduma kati ya Mwanza na Kampala, Kwa hivyo Kuna miji iko sawa sana tofauti na mnavyo jiaminisha, sensa ya miaka ya nyuma hapa Arusha ilikua na watu laki6 na Mwanza ilikua na watu Milion 1.2, population ni kigezo kikubwa Cha kiuchumi pia, acheni kujisifia kwenye hamna
 
Arusha A Cityyyyy🔥🔥🔥♨️♨️













 
kaiba ramani ya Ryn bay hotel ya Mwanza hiyo
 
Utakua ni mtoto mtoto au ni mtu wa vijiiweni,wenye kusifia vya watu pasi kuvitafuta
Arusha ni level za US sio Tanzania 👇
 

Attachments

  • self_said_1651087470996613.jpg
    142.1 KB · Views: 11
  • Screenshot_20220427-215630.png
    292.1 KB · Views: 11
  • images - 2022-05-08T055443.051.jpeg
    27.6 KB · Views: 11
  • images - 2022-05-08T055532.650.jpeg
    28.3 KB · Views: 11
  • FOrXop8WUAoBwjm.jpeg
    112.3 KB · Views: 11
  • FI7bB3CWUAYzcsx.jpeg
    25.8 KB · Views: 10
  • FJ-P7BuXEAcnjEh.jpeg
    256.8 KB · Views: 12
Mimi nimefika Arusha ila sioni maajabu. Zaidi ya serikali kulazimisha kuufanya mji wa utalii na makao makuu ya EAC hakuna kingine kipya.

Soon inapitwa hata na Dodoma.

Nielekezeni basi niende wapi ila nijue kweli Arusha ni hatari.
unavyosema serikali imelazimisha kufanya mji wa Arusha kuwa wa kitalii unamaanisha nini??🙄🙄
 
Nachelea kusema hapana, ila linaweza kuwa jiji la pili ikianza DSM.
 
Sweet Arusha 👇
 

Attachments

  • EOOSlA0WkAAgIJ4.jpg
    156.3 KB · Views: 9
  • Screenshot_20220617-222814_1.jpg
    80.8 KB · Views: 8
  • Screenshot_20210605-174434_1.jpg
    30.2 KB · Views: 9
Sasa MWANZA washamba mashambani huko sijui nani anawapaga guts za kujishindanisha na Arusha. Size yao ni Mbeya,Dom na Tanga.
 
Sasa MWANZA washamba mashambani huko sijui nani anawapaga guts za kujishindanisha na Arusha. Size yao ni Mbeya,Dom na Tanga.
Punguza chuki za wazi, hiyo arusha haina ata hadhi ya kuishindanisha na dodoma, arusha size yake ni kigoma na mtwara huko.
 
Punguza chuki za wazi, hiyo arusha haina ata hadhi ya kuishindanisha na dodoma, arusha size yake ni kigoma na mtwara huko.
Mtu average wa Arusha ana exposure ya dunia kuliko mtu yeyote wa Mwanza, mtu average wa Mwanza mpaka atoke Mwanza aende dar ama Arusha ndio anaanza kujanjaruka. Wenzio hawashangai wageni, hawashangai lugha, magari wala majengo. Mwanzo ni malimbukeni mall imekuja juzi tu basi wanadhani wao wamemaliza. Bwana ee tumewachoka washamba.
 
Mbona povu jingi unadhani mwanza kuna vijana wakujiuza kwa viajuza vya kizungu, mnatolewa marinda na wazungu mnajiona wajanja, au kuvaa nguo za mitumba ndio ujanja tueleze ujanja wenu upo wapi? Mna nini cha ajabu? Mnatafuta sifa kujilinganisha na jiji lililowazidi kwa kila kitu, leta facts povu ruksa.
 

Sawa mtu wa kaskazini,,sifa zikizidi matokeo yake ndio haya!! Sio geneva tu,,ni Dubai haswaa.
 
Sasa MWANZA washamba mashambani huko sijui nani anawapaga guts za kujishindanisha na Arusha. Size yao ni Mbeya,Dom na Tanga.
Mu-Arusha wa njombe na huku upo unapambana na Kanda ya ziwa?? Unahangaika sana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…