Sahihi kusema Arusha ndio Jiji bora Tanzania?

Acheni kutafuta sifa. Jengeni barabara. Barabara za mitaa Arusha yote ni mbovu, za vumbi na matope hazipitiki wakati wa mvua. Kuna maeneo watu wameamua kutengeneza wenyewe barabara sababu ya ubinafsi wa viongozi wa jiji. Haieleweki ofisini hao wanaojiita maofisa wanafanya nini
WAKOME KUCHAGUA CHADOMO...!
SU-GANG ALIKUWA ANAKWENDA KUIUA HATA DAR ES SALAAM.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Unavyojitapa sasa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ,,,ukitoka hapa unaanza kumponda mama Samia oh hali ya maisha ngumu, vitu vimepanda bei, ajira hakuna mara cjui nini. acha ku2ongopea bwana, wadanganye huko huko kijijini kwenu arusha๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Wewe takataka huna ela Arusha ilikushinda ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Watu Duniani Wana appreciate Arusha harafu eti chura kutoka ziwa Victoria anajirusha rusha kama kakanyagwa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Screenshot_20220501-073336.png
 
Hakuna maali people zinakula maisha Kama A Town aise ..hata watu wa far wakasome ..huku raia wanakula Bata Hadi Kuna muda inafika unaonaa Kama hakuna shida vile hahaha ..sema Nini machalii Wana hustle Sana ukikutananao kwenye mbishe unaeza dhani wamekosa ramani Ila njo batani unaeza dhani wote mabilionea hahaha

Huku ni mwendo wa Work Hard, Play Hard..
Wasukuma wa mwanza hawataelewa hili hahaha๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
True chuga patamu kinoma na ikifuatia green city mbeyaaa coz wanafana kila kitu mpaka hali ya hewa hata pato la taifa mbeya inaongozaga, majiji haya mbeya na chuga mi nayakubari kinoma hata wakazi wake wengii ni christians sana

Kwahiyo kama wakazi wake wengi ni wakristo inasaidia nini!!! Udini unakusumbua kijana
 
Mimi naomba kuuliza swali, hivi ni kwa Nini ukifunguliwa uzi wa kulinganisha baina ya sehemu mbili hapa Tanzania especially Arusha lazima Mwanza ihusishwe?

Mbona watu wa Arusha mnahangaika Sana na Mwanza? Au mna inferiority complex kuona jiji kubwa na Zuri Kama Mwanza halitaki ligi za kitoto na nyie, acheni bhna utoto
 
Mti wenye matunda hupigwa mawe......hata kwa upande wa football, ukifunguliwa uzi wa kucompare baina ya wachezaji wawili in the world, lazima Mchezaji flani ahusishwe maana

1 Dar
2 Mwz

Statistics zinaongea mkuu, so wasikusumbue!
 
Mimi naomba kuuliza swali, hivi ni kwa Nini ukifunguliwa uzi wa kulinganisha baina ya sehemu mbili hapa Tanzania especially Arusha lazima Mwanza ihusishwe?

Mbona watu wa Arusha mnahangaika Sana na Mwanza? Au mna inferiority complex kuona jiji kubwa na Zuri Kama Mwanza halitaki ligi za kitoto na nyie, acheni bhna utoto

Mtu anaeongea ongea na kusifia chake kabla ya kusifiwa jua kuwa amepigwa gepu kubwa, hivyo anahangaika kuiprom masikini ya mungu, wakuhurumiwa
 
Arusha haya kama inashindaanishwa ndo ishindanishe nankijiji kama Mbeya! Mbeya kwa taarifa yako ni ujinga ujinga tu hata Kahama haiikuti!
Wekeni uzi wa Mbeya na Arusha sasa [emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mimi naomba kuuliza swali, hivi ni kwa Nini ukifunguliwa uzi wa kulinganisha baina ya sehemu mbili hapa Tanzania especially Arusha lazima Mwanza ihusishwe?

Mbona watu wa Arusha mnahangaika Sana na Mwanza? Au mna inferiority complex kuona jiji kubwa na Zuri Kama Mwanza halitaki ligi za kitoto na nyie, acheni bhna utoto
Hiki kitu ata mm nilishauliza sn kwann watu wanapenda kuilinganisha mwanza na vitu vya kijinga, Kila sehemu wanataka kuilinganisha na Mwanza.
 
True chuga patamu kinoma na ikifuatia green city mbeyaaa coz wanafana kila kitu mpaka hali ya hewa hata pato la taifa mbeya inaongozaga, majiji haya mbeya na chuga mi nayakubari kinoma hata wakazi wake wengii ni christians sana
Umetoka kwenye ubaguzi wa ukanda na ukabila mmeanza na udini, kwa hiyo christians kujazana huko Arusha ndio utajiri? Kweli nyinyi watu wa Arusha mnamatatizo sana. Mwanza inajengwa na wakristo na waislamu na hatuna ubaguzi wa kidini wala kabila.
 
Back
Top Bottom