Sahihi kusema Arusha ndio Jiji bora Tanzania?

Sahihi kusema Arusha ndio Jiji bora Tanzania?

Utakuwa mgogo wewe mwenye tongotongo na kutembeza bakuli
Kama babako alivyokuwa shoga unaambiwa ukweli unaleta uthenge hao walevi na wavuta bangi wastaarabike tangu lin zunguka Wacha kuvaa mitumba unakuwa fala
 
Usiwe muoga kama kuku Arusha ni salama sana

Arusha sio sehemu salama, huwezi fananisha na kanda ya ziwa, dar n.k. arusha pamezidi, na ukatili upo huko japo co wote.

Arusha na Tarime mnatakiwa muishi pamoja
 
Arusha sio sehemu salama, huwezi fananisha na kanda ya ziwa, dar n.k. arusha pamezidi, na ukatili upo huko japo co wote.

Arusha na Tarime mnatakiwa muishi pamoja
Hii ya ukatatili ni kweli kabisa, bila kusahau walokole wenye unafiki wa kiwango cha sgr
 
Huku chuga kila mtu bilionea wewe😃

Mpaka machinga na mama ntilie nao ni bilionea 😁 unajua Tanzania bado kuna washamba wengi sanaa. Mtu anaamini eti akimiliki milioni 1 tiari yeye ni milionea, akimiliki bilioni 1 yeye ni bilionea,,,
 
Mpaka machinga na mama ntilie nao ni bilionea 😁 unajua Tanzania bado kuna washamba wengi sanaa. Mtu anaamini eti akimiliki milioni 1 tiari yeye ni milionea, akimiliki bilioni 1 yeye ni bilionea,,,
Kuna wamama wanauza ndizi soko kuu wana pesa balaa😃😃, arusha kumenoga hamieni huku
 
Arusha sio sehemu salama, huwezi fananisha na kanda ya ziwa, dar n.k. arusha pamezidi, na ukatili upo huko japo co wote.

Arusha na Tarime mnatakiwa muishi pamoja
Nimegundua watu wa Arusha wanaogopwa bila sababu.
 
Nimegundua watu wa Arusha wanaogopwa bila sababu.

Kwa ukatili sana co! Japo co wote,,,na waarusha wenyewe sidhani kama ni mikatili, labda ungeniambia wachagga japo co wote.

Mchagga+mkurya wanastahili waishi pamoja
 
Kwa ukatili sana co! Japo co wote,,,na waarusha wenyewe sidhani kama ni mikatili, labda ungeniambia wachagga japo co wote.

Mchagga+mkurya wanastahili waishi pamoja
Bila kusahau wauawaji wakubwa wa vikongwe na albino wa ziwani😢
 
True chuga patamu kinoma na ikifuatia green city mbeyaaa coz wanafana kila kitu mpaka hali ya hewa hata pato la taifa mbeya inaongozaga, majiji haya mbeya na chuga mi nayakubari kinoma hata wakazi wake wengii ni christians sana
 
Mimi nimemuelewa sana mtoa mada
Watu wengine wa miji mingine wanaleta hoja za population na ukubwa
Wanasahau kwamba ukiongelea population na ukubwa wa mji miji yao yote hata hainusi kwa dar
Lakini kuongelea kuhusu investments na real estate ni mbingu na ardhi Arusha iko mbali mno labda kwa vile nyie mnajengewa stendi na masoko🤣🤣

View attachment 2039170

View attachment 2039171

View attachment 2039172

View attachment 2039173

View attachment 2039174

View attachment 2039175

View attachment 2039176

View attachment 2039177

View attachment 2039178

View attachment 2039180
Uko kwingine bila serikali kiwekeza unadhani Kuna mwekezaji kwenye akili zake timamu akajenge ma real estate Kama haya dodoma au mwanza??! Hapana kwa kweli😂😂😂😂
 
Sipapendi mwanza kabisa japo nilisomea huko,quality livings standard and cooliness haipo kabisa,+types of peoples wa mwanza nope nope!

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Kwanza kuna Washamba Sana,mandhari mbaya na Wala Mji hauvutii kwa hiyo hakuna kama Arusha mkuu..

Kwanza kule wanakufa Sana kwa Saratani
 
Back
Top Bottom