Sahihi kwa Muislamu kuingia na Kufanya ibada ndani ya masinagogi yanayotumiwa na Wayahudi?

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Hamjamboni Ndugu zangu wote na hongereni kwa kuchapa Kazi

Ni sahihi kwa Muislamu kusali ndani ya masinagogi yale yatumiwayo na Wayahudi kwa ibada?

Karibuni tujadili mada hii wapendwa na kupeana Elimu kwa faida yetu sote
 
Siyo sahihi.Sinagogi ni Nyumba ya ibada ya dini ya kiyaudi. Lakini wanaweza Sali kwa zalula maana hata msituni ama Nyumba yeyote waweza kufanya ibada kwa dharula
 
Hamjamboni Ndugu zangu wote na hongereni kwa kuchapa Kazi

Ni sahihi kwa Muislamu kusali ndani ya masinagogi yale yatumiwayo na Wayahudi kwa ibada?

Karibuni tujadili mada hii wapendwa na kupeana Elimu kwa faida yetu sote
Sinagogi ni msikiti wa wayahudi.

Hata Yesu alisali kwenye masinagogi.

Je mkristo wa Israel anasali kanisani au humo kwenye masinagogi?
 
Hamjamboni Ndugu zangu wote na hongereni kwa kuchapa Kazi

Ni sahihi kwa Muislamu kusali ndani ya masinagogi yale yatumiwayo na Wayahudi kwa ibada?

Karibuni tujadili mada hii wapendwa na kupeana Elimu kwa faida yetu sote
Assalamualaikum.
Jibu sahihi: Naam, anaweza kuswali bila shaka yoyote ilamradi tu kusiwe na masanamu au michoro ya viumbe hai
Allahu yahlam
 
Back
Top Bottom