U Uzalendo wa Kitanzania JF-Expert Member Joined Mar 8, 2020 Posts 3,585 Reaction score 8,106 May 5, 2022 #1 Hamjamboni Ndugu zangu wote na hongereni kwa kuchapa Kazi Ni sahihi kwa Muislamu kusali ndani ya masinagogi yale yatumiwayo na Wayahudi kwa ibada? Karibuni tujadili mada hii wapendwa na kupeana Elimu kwa faida yetu sote
Hamjamboni Ndugu zangu wote na hongereni kwa kuchapa Kazi Ni sahihi kwa Muislamu kusali ndani ya masinagogi yale yatumiwayo na Wayahudi kwa ibada? Karibuni tujadili mada hii wapendwa na kupeana Elimu kwa faida yetu sote
ruby garnet JF-Expert Member Joined Apr 10, 2017 Posts 2,869 Reaction score 3,852 May 5, 2022 #2 Uzalendo wa Kitanzania said: Hamjamboni Ndugu zangu wote na hongereni kwa kuchapa Kazi Ni sahihi kwa Muislamu kusali ndani ya masinagogi yale yatumiwayo na Wayahudi kwa ibada? Karibuni tujadili mada hii wapendwa na kupeana Elimu kwa faida yetu sote Click to expand... Siyo sahihi.Sinagogi ni Nyumba ya ibada ya dini ya kiyaudi. Lakini wanaweza Sali kwa zalula maana hata msituni ama Nyumba yeyote waweza kufanya ibada kwa dharula
Uzalendo wa Kitanzania said: Hamjamboni Ndugu zangu wote na hongereni kwa kuchapa Kazi Ni sahihi kwa Muislamu kusali ndani ya masinagogi yale yatumiwayo na Wayahudi kwa ibada? Karibuni tujadili mada hii wapendwa na kupeana Elimu kwa faida yetu sote Click to expand... Siyo sahihi.Sinagogi ni Nyumba ya ibada ya dini ya kiyaudi. Lakini wanaweza Sali kwa zalula maana hata msituni ama Nyumba yeyote waweza kufanya ibada kwa dharula
mwandende JF-Expert Member Joined Feb 16, 2017 Posts 11,005 Reaction score 20,805 May 5, 2022 #3 Uzalendo wa Kitanzania said: Hamjamboni Ndugu zangu wote na hongereni kwa kuchapa Kazi Ni sahihi kwa Muislamu kusali ndani ya masinagogi yale yatumiwayo na Wayahudi kwa ibada? Karibuni tujadili mada hii wapendwa na kupeana Elimu kwa faida yetu sote Click to expand... Sinagogi ni msikiti wa wayahudi. Hata Yesu alisali kwenye masinagogi. Je mkristo wa Israel anasali kanisani au humo kwenye masinagogi?
Uzalendo wa Kitanzania said: Hamjamboni Ndugu zangu wote na hongereni kwa kuchapa Kazi Ni sahihi kwa Muislamu kusali ndani ya masinagogi yale yatumiwayo na Wayahudi kwa ibada? Karibuni tujadili mada hii wapendwa na kupeana Elimu kwa faida yetu sote Click to expand... Sinagogi ni msikiti wa wayahudi. Hata Yesu alisali kwenye masinagogi. Je mkristo wa Israel anasali kanisani au humo kwenye masinagogi?
LOGORIDDIM JF-Expert Member Joined Jan 25, 2013 Posts 1,470 Reaction score 972 May 6, 2022 #4 Uzalendo wa Kitanzania said: Hamjamboni Ndugu zangu wote na hongereni kwa kuchapa Kazi Ni sahihi kwa Muislamu kusali ndani ya masinagogi yale yatumiwayo na Wayahudi kwa ibada? Karibuni tujadili mada hii wapendwa na kupeana Elimu kwa faida yetu sote Click to expand... Assalamualaikum. Jibu sahihi: Naam, anaweza kuswali bila shaka yoyote ilamradi tu kusiwe na masanamu au michoro ya viumbe hai Allahu yahlam
Uzalendo wa Kitanzania said: Hamjamboni Ndugu zangu wote na hongereni kwa kuchapa Kazi Ni sahihi kwa Muislamu kusali ndani ya masinagogi yale yatumiwayo na Wayahudi kwa ibada? Karibuni tujadili mada hii wapendwa na kupeana Elimu kwa faida yetu sote Click to expand... Assalamualaikum. Jibu sahihi: Naam, anaweza kuswali bila shaka yoyote ilamradi tu kusiwe na masanamu au michoro ya viumbe hai Allahu yahlam