Sahihi ya Hayati Magufuli yageuka kivutio cha utalii kwenye Mahandaki ya SGR

Mode n
Uzi kama huu muwe mnauondoa mapems tarehe zikizotajwa mwendazake alikuwa keshaondoka sasa saini ilitoka wapi
 
Aisee nimetoka nchi ya Burundi yaani huyu mwamba walikua wanamkubali na kumlilia alipofariki. Wanamjua na kumpenda sana n wengine hadi wakiweka msiba alipofariki

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Unakurupuka sana mkuu.

Hiyo saini iko wapi? Hamna hata picha?

Magufuli alitembelea mahandaki tarehe 21/06/2021 akitokea wapi, kuzimu?? Au unamaana mwanae Joseph Magufuli kaenda kutembelea SGR?
Duh..mtoa hoja kaandika 29/06/2020....wewe 2021 umeitoa wapi!?….SASA Nani amekurupuka Kati yenu!?
 
Mafanikio ya Samia ni habari mbaya sana kwa Lisu maana 2025 hana chake tena.

Ccm itaendelea kupeta
Lisu alikuwa anapambana na dikteta uchwara na amemtoa nock out hatarudi milele hanashida na mama
Mama ni msikivu
Hashipazi shingo
Wataendana
 
Yule Shetani Bora Mungu alipomfutilia kwenye Sura ya Dunia.

Alifanya watu kama wewe muwe na Taahira ya Ubongo, na Mko wengi kweli kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…