Imeelezwa na Wasimamizi wa Ujenzi wa reli ya kisasa kipande cha kuanzia Morogoro kwenda Makutupora kuwa saini iliyowekwa na hayati rais Magufuli alipotembelea ujenzi wa mahandaki ya reli hiyo mnamo tarehe 29/06/2020 imegeuka kuwa kivutio cha utalii!
Maelfu ya watu hufika kila siku kwenye mahandaki hayo na kupiga picha kwenye sahihi ya Magufuli na kuondoka zao. Hali hiyo imetafasiriwa kama upendo mkubwa walionao watu kwa rais huyo wa tano wa Tanzania.
Hapo chumvi imekolea kweli kweli"Maelfu ya watu hufika kila siku"
Unashida gani kiongozi?29/06/2021? Nmetoka kapa
Naendelea kukupa pole,, umepoteza akiliUnakurupuka sana mkuu.
Hiyo saini iko wapi? Hamna hata picha?
Magufuli alitembelea mahandaki tarehe 21/06/2021 akitokea wapi, kuzimu?? Au unamaana mwanae Joseph Magufuli kaenda kutembelea SGR?
Charles Mbowe alikuwa mtumishi wa UMMA? IMEISHA HIYO KWISHNEY PATEL ,Hakuna cha CHUMA wala JIWE.Kama charles mbowe vile
Kwani kasema anagombea 2015?Mafanikio ya Samia ni habari mbaya sana kwa Lisu maana 2025 hana chake tena.
CCM itaendelea kupeta
Sio sahihi ni sainiImeelezwa na Wasimamizi wa Ujenzi wa reli ya kisasa kipande cha kuanzia Morogoro kwenda Makutupora kuwa saini iliyowekwa na hayati rais Magufuli alipotembelea ujenzi wa mahandaki ya reli hiyo mnamo tarehe 29/06/2020 imegeuka kuwa kivutio cha utalii!
Maelfu ya watu hufika kila siku kwenye mahandaki hayo na kupiga picha kwenye sahihi ya Magufuli na kuondoka zao. Hali hiyo imetafasiriwa kama upendo mkubwa walionao watu kwa rais huyo wa tano wa Tanzania.
Jipe Pole mwenyewe. Unipe Pole mimi kwa kipiNaendelea kukupa pole,, umepoteza akili
Aah wapi tozo tu ishambomoaMafanikio ya Samia ni habari mbaya sana kwa Lisu maana 2025 hana chake tena.
CCM itaendelea kupeta
Mkuu hivi bukta ni aina gani ya nguo?,au ndo boxer kwa kidhungu.Unaonesha ujinga wako. Jitahidi uufiche ujinga wako kwenye bukta yako.πππππ
DeraBukta tena jamani au sketi
Ni zaidi ya Gaidi, pia ni Fisadi na MwiziKwani makonda nae ni gaidi kama mbowe?
Minyoo inajifaidia tu. Funza hawaogopi mitutu ya bunduki... Acheni Mungu aitwe Mungu
Sahihi iko wapiImeelezwa na Wasimamizi wa Ujenzi wa reli ya kisasa kipande cha kuanzia Morogoro kwenda Makutupora kuwa saini iliyowekwa na hayati rais Magufuli alipotembelea ujenzi wa mahandaki ya reli hiyo mnamo tarehe 29/06/2020 imegeuka kuwa kivutio cha utalii!