BILLY ISISWE
JF-Expert Member
- Feb 10, 2014
- 2,666
- 1,053
Taja msanii mmoja wa nje ya Wasafi aliyemzidi Diamond!
THUBUTUHuyo Sara kamkuta Hamo ana ghorofa kajenga kwa pesa za muziki labda km alimfanyia finishing... Rayvanny ana nyumba yenye swimming pool sasa wananyonywaje awa watu? Lavalava kaanza muziki juzi tu
Raha sanaa...Utoto bwana[emoji134][emoji134]
[emoji3][emoji3]Ko, m2, 2na, ha2toboi
kwani katoroka?Kuondoka sawa. Lakini si ondoka kwa utaratibu unaoeleweka,sio kutoroka tu. Je siku ukikwama?
Wanatuoneshaga magari tu na mabaunsa wanaowamiliki, nyumba wala!Huijui wcb wewe, rayvan kapanga tabata...
Uhuru bila hewa ni us#nge[emoji857][emoji857][emoji857]Ukiona mtu anajitoa WCB anajua sababu na anajua matokeo yake.
Moja ya matokeo ni kushuka ila anakubali kuwa huru
Unachotaka wewe na nafikiri ndio tabia zako,kuongezea ongezea tumaneno tusito na mitazamo mipana katika kila hoja ya mwingine ili mradi lazima ushinde. Huyo dogo unaambiwa hajarepot kambini kwao kama ilivyo kawaida yao. Ila yupo hapo hapo huku akionekana amefungua ofisi yake sinza kijiweni,bila kuwashirikisha viongozi wake. (Huo tu ni usariti na uasi). Na huko ndio kutoroka. Ksbb upo hapo na hufiki ofisini kama ilivyo kawaida (huko sio kutoroka?). Kamuelimishe vizuri namna nzuri yenye heshima hata kwa jamii inayomshabikia,namna nzuri ya kuondoka mahala walipokulea kisanii mpaka kufikia alipo. Bila Diamond yule dogo kuna hata ndoto ya angefikia hapo alipo sasa?. Basi aage nafikiri nao viongozi wake watamruhusu kwa heshima tu,wanaweza kuitwa hata waandishi wa habari au hata part fulani wakaagana kwa amani. Kuliko hivi anavyofanya hata jamii itamtafsiri ni jeuri.kwani katoroka?
mkataba wake umeshawahi kuusoma kuwa kunakipengele cha kureport ofisi za WCB kila siku??Unachotaka wewe na nafikiri ndio tabia zako,kuongezea ongezea tumaneno tusito na mitazamo mipana katika kila hoja ya mwingine ili mradi lazima ushinde. Huyo dogo unaambiwa hajarepot kambini kwao kama ilivyo kawaida yao. Ila yupo hapo hapo huku akionekana amefungua ofisi yake sinza kijiweni,bila kuwashirikisha viongozi wake. (Huo tu ni usariti na uasi). Na huko ndio kutoroka. Ksbb upo hapo na hufiki ofisini kama ilivyo kawaida (huko sio kutoroka?). Kamuelimishe vizuri namna nzuri yenye heshima hata kwa jamii inayomshabikia,namna nzuri ya kuondoka mahala walipokulea kisanii mpaka kufikia alipo. Bila Diamond yule dogo kuna hata ndoto ya angefikia hapo alipo sasa?. Basi aage nafikiri nao viongozi wake watamruhusu kwa heshima tu,wanaweza kuitwa hata waandishi wa habari au hata part fulani wakaagana kwa amani. Kuliko hivi anavyofanya hata jamii itamtafsiri ni jeuri.
Sasa hata ukiachwa huru ukawa kivyako ndio utamzidi diamond?Ukiwa under wasafi,umaarufu utaupata sawa ila lazima watamake sure usimzidi Diamond.
🤣🤣🤣🤣 Diamond mmoja ni sawa na kina nandy 1000Nandy
Naona harmo sasa amejiunga rasmi kwny timu ya kusifu na kuabudu rasmi,nimeiona remix yake ya kwangaru.mkataba wake umeshawahi kuusoma kuwa kunakipengele cha kureport ofisi za WCB kila siku??
muacheni mtu afanye anachoona kinafaa na kama amekiuka mkataba, wakusemea hilo ni Diamond ambaye mpaka majuzi ameconfrim kuwa kijana bado yupo chini ya label yao.
Aisee hata harmonize Kuna ghorofa anajenga huku mtaani kwangu karibu na madale.Huyo Sara kamkuta Hamo ana ghorofa kajenga kwa pesa za muziki labda km alimfanyia finishing... Rayvanny ana nyumba yenye swimming pool sasa wananyonywaje awa watu? Lavalava kaanza muziki juzi tu
yees amejisajili kwenye praise team ya ankali.Naona harmo sasa amejiunga rasmi kwny timu ya kusifu na kuabudu rasmi,nimeiona remix yake ya kwangaru.
Ni kabishi haka kadada kanguMkuu, naomba nitoke nje ya mada...
Kipindi kile nakusoma hapa ulikuwa kapole sana, tofauti sana na mapema mwakahuu umekuwa m-bishi na umepoteza woga.
Naomba niishie hapa kwa leo
🤣🤣🤣🤣 Diamond mmoja ni sawa na kina nandy 1000
Ananyonywa eti ee....?Walikua wanamlalamikia Ruge anayonya wasanii,na wao wanapita humo humo.
duuuh we unaangaliaga magari tu nyumba hunaga mpango nazoWanatuoneshaga magari tu na mabaunsa wanaowamiliki, nyumba wala!
Huyo dada yupo sahihi acheni ushabiki maandaziWewe imejuaje Kama ni show off?