Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Sijui mkuu, binafsi nimejikuta ananipaka shombo tu.kiongozi huyu jamaa ana matatizo gani?
mbona hata mimi kanivamia na matusi juu?
bahati nzuri una busara sana mimi nimempa chenchi hapa hapa
Sasa nilipo kaa nikatafakari kidogo, nikaona ebu ngoja nimpuuze na nikamuweka kwenye jukwaa la ignored.
Nakushauri tu mpuuze