Lord Delamere in Kenya
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,988
- 8,021
Sawa,maana hata wale wachezaji wakali wengine wa kigeni,waliowahi kuja kucheza hapa nchini, nao mlianza kuwaona nyinyi. Very ridiculous!Hakuna club hapa Tanzania yenye macho ya kuona wachezaji wazuri wa nje wa kuwasajili kama YANGA, ile mikia huwa inasubiri Yanga isajili yenyewe inyakuwe tu
Bad enough huwa wanaenda kuwa mizigo kule kwao.
Ref: Ajibu, B. Morrison na wengine.
Ni Yanga ndo walianza kuwaona:William Fahnbuler (Liberia),Ramadhan Wasso (Burundi), Emeh Ezechukwu na Orji Obina (Nigeria), Patrick Ochan, George Owino, na Emmanuel Okwi (Uganda), Moses Odhiambo na Hillary Echesa (Kenya), Gerson Fraga (Brazil), Clatous Chama (Zambia) na wengineo.
Wote hao na wengineo waliletwa nchini na Yanga.Very ridiculous indeed!😱