Said Intabazonkiza (Young African new player)

Hakuna club hapa Tanzania yenye macho ya kuona wachezaji wazuri wa nje wa kuwasajili kama YANGA, ile mikia huwa inasubiri Yanga isajili yenyewe inyakuwe tu

Bad enough huwa wanaenda kuwa mizigo kule kwao.

Ref: Ajibu, B. Morrison na wengine.
Sawa,maana hata wale wachezaji wakali wengine wa kigeni,waliowahi kuja kucheza hapa nchini, nao mlianza kuwaona nyinyi. Very ridiculous!

Ni Yanga ndo walianza kuwaona:William Fahnbuler (Liberia),Ramadhan Wasso (Burundi), Emeh Ezechukwu na Orji Obina (Nigeria), Patrick Ochan, George Owino, na Emmanuel Okwi (Uganda), Moses Odhiambo na Hillary Echesa (Kenya), Gerson Fraga (Brazil), Clatous Chama (Zambia) na wengineo.

Wote hao na wengineo waliletwa nchini na Yanga.Very ridiculous indeed!😱
 
Sawa,maana hata wale wachezaji wakali wengine wa kigeni,waliowahi kuja kucheza hapa nchini, nao mlianza kuwaona nyinyi. Very ridiculous!

Ni Yanga ndo walianza kuwaona:William Fahnbuler (Liberia),Ramadhan Wasso (Burundi), Emeh Ezechukwu na Orji Obina (Nigeria), Patrick Ochan, George Owino, na Emmanuel Okwi (Uganda), Moses Odhiambo na Hillary Echesa (Kenya), Gerson Fraga (Brazil), Clatous Chama (Zambia) na wengineo.

Wote hao na wengineo waliletwa nchini na Yanga.Very ridiculous indeed!
 
Hakuna club hapa Tanzania yenye macho ya kuona wachezaji wazuri wa nje wa kuwasajili kama YANGA, ile mikia huwa inasubiri Yanga isajili yenyewe inyakuwe tu

Bad enough huwa wanaenda kuwa mizigo kule kwao.

Ref: Ajibu, B. Morrison na wengine.
Kwahiyo huyu Ajib ni nyinyi yanga ndio mlimuona?
 
Sawa,maana hata wale wachezaji wakali wengine wa kigeni,waliowahi kuja kucheza hapa nchini, nao mlianza kuwaona nyinyi. Very ridiculous!

Ni Yanga ndo walianza kuwaona:William Fahnbuler (Liberia),Ramadhan Wasso (Burundi), Emeh Ezechukwu na Orji Obina (Nigeria), Patrick Ochan, George Owino, na Emmanuel Okwi (Uganda), Moses Odhiambo na Hillary Echesa (Kenya), Gerson Fraga (Brazil), Clatous Chama (Zambia) na wengineo.

Wote hao na wengineo waliletwa nchini na Yanga.Very ridiculous indeed![emoji33]
Ninyi kwasasa mnawaona wachezaji aina ya kina fraga na wazee wa 60's
 
Alikuwa Simba, akaenda kuwika vizuri Yanga wakamwonea wivu baada ya kumrudisha Simba akawa mzigo.

Ni kama Morrison tu.
Na wale akina yondani? Method mogela,zamoyoni mogela,, bathez, walikuwa wapi?
Duniani kote mchezaji akifika muda wake wa kuondoka anaondoka,,
Mchezaji hana mapenzi ya kwl na timu,,mpira ni kazi..
Mwenye mapenzi ya kwl na timu ni shabiki.
 
Ukweli mtupu! wachezaji wachache wenye mapenzi na timu mfano. Mesut ozil,messi..
 
Sawa,maana hata wale wachezaji wakali wengine wa kigeni,waliowahi kuja kucheza hapa nchini, nao mlianza kuwaona nyinyi. Very ridiculous!

Ni Yanga ndo walianza kuwaona:William Fahnbuler (Liberia),Ramadhan Wasso (Burundi), Emeh Ezechukwu na Orji Obina (Nigeria), Patrick Ochan, George Owino, na Emmanuel Okwi (Uganda), Moses Odhiambo na Hillary Echesa (Kenya), Gerson Fraga (Brazil), Clatous Chama (Zambia) na wengineo.

Wote hao na wengineo waliletwa nchini na Yanga.Very ridiculous indeed![emoji33]
Umemsahau Dany Serunkuma
 
Back
Top Bottom