PostGE2025 Said Issa: Uamuzi wa kunifukuza CHADEMA siyo halali

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Said Issa Mohammed, aliyefukuzwa uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa madai ya kukiuka katiba, kanuni na miongozo ya chama, amesema uamuzi huo ni kinyume na katiba ya chama hicho.


​
Hatua ya kumfukuza ilipitishwa na Kamati Tendaji ya Kanda ya Pemba baada ya kuhusishwa na kufungua kesi dhidi ya bodi ya wadhamini na Katibu Mkuu wa CHADEMA, shauri ambalo baadaye lilitupiliwa mbali na Mahakama Kuu kutokana na kasoro zilizobainika.

Soma: Said Issa Mohamed aliyeishtaki CHADEMA atimuliwa rasmi Uanachama kwenye chama hicho

"Kwa sababu katiba ya chama inaeleza utaratibu mzima wa namna ya wanachama kuvuliwa uanachama, ikiwemo haki ya kuitwa kwenye kikao halali ambacho tuhuma zitasomwa na inatakiwa tuhuma hizo ziandikwe ili ajipange kuzijibu, na kikao hicho kitampa fursa ya kujieleza na kujitetea juu ya tuhuma ambazo zimetuhumiwa kwake. Na pale kitakapokuwa chama kimeona kinadhibitisha juu ya tuhuma hiyo, basi chama kinaendelea na mchakato mwingine ukiwemo wa kumtaka mtuhumiwa ama aombe radhi au kutoa maamuzi mengine ya kumfukuza chama. Taratibu hizi zote hazikuchukuliwa."

Your browser is not able to display this video.
Via: Azam TV
 
Hili jamaa pambaf kabisa.
Unanyea kiganja kilichokushika, kikikatwa unaanza kulalamika.
Kama alitumwa basi ajue ametumika kama toilet paper!
 
Mbona rahisi.
Aombe kujiunga na CCM.
 

Attachments

  • VID_20260608_053234_874.mp4
    8.5 MB
wapelekee motro Maalim Said Issa Mohamed,

peleka motro baba, peleka 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…