Cicadulina
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 1,015
- 2,454
Kwa kweli hauna sababu ya kunijibu kama unaamini kuwa nia yangu ni kukupotezea muda. Sio lazima tujibishane kama mmoja anaona hamna tija. Ndio uzuri wa www. Kila mmoja ana uhuru wa mtazamo na uamuzi wake.Kuhusu mipango ya Ndugai na Yule Mbunge na hata covid 19 ulikuwa uvunjifu wa katiba wa bunge, unajua ila unataka kunipotezea muda, uwe na siku njema
Asante.
Hata Zitto Kabwe alifukuzwa Chadema kwa kukishitaki Chama Mahakamani, huyo boya atulie tu kama hakubargain vizuri kupewa donge nono wakati anapewa kandarasi hiyo ajue imekula kwake CCM hawana matumizi naye tenaHoja hiyo ya mwisho ni kweli, ukishitaki Chadema Mahakamani uanachama wako umekwisha
Halima alifukuzwa na ndio maana ameomba upya uanachama kwenye Tawi
Kuhusu Ile kesi ya covid 19 ilikuwa Mpango wa Serikali tu, Matiko ni mwanachama wa ccm tangu 2022 lakini bungeni aliitwa mbunge wa viti Maalum Chadema hadi 2025 bunge lilipovunjwa
TENA WALITAKIWA WAMFUMUE NA MALINDA KABISA ILI IWE FUNDISHO KWA WENYE AKILI MBOVU KAMA ZA KWAKESiyo mbaya akijiunga huko ccm mbona sawa tu
Ova
Masnichi ya masiji hayoSaid Issa Mohammed, aliyefukuzwa uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa madai ya kukiuka katiba, kanuni na miongozo ya chama, amesema uamuzi huo ni kinyume na katiba ya chama hicho.
Hatua ya kumfukuza ilipitishwa na Kamati Tendaji ya Kanda ya Pemba baada ya kuhusishwa na kufungua kesi dhidi ya bodi ya wadhamini na Katibu Mkuu wa CHADEMA, shauri ambalo baadaye lilitupiliwa mbali na Mahakama Kuu kutokana na kasoro zilizobainika.
Soma: Said Issa Mohamed aliyeishtaki CHADEMA atimuliwa rasmi Uanachama kwenye chama hicho
"Kwa sababu katiba ya chama inaeleza utaratibu mzima wa namna ya wanachama kuvuliwa uanachama, ikiwemo haki ya kuitwa kwenye kikao halali ambacho tuhuma zitasomwa na inatakiwa tuhuma hizo ziandikwe ili ajipange kuzijibu, na kikao hicho kitampa fursa ya kujieleza na kujitetea juu ya tuhuma ambazo zimetuhumiwa kwake. Na pale kitakapokuwa chama kimeona kinadhibitisha juu ya tuhuma hiyo, basi chama kinaendelea na mchakato mwingine ukiwemo wa kumtaka mtuhumiwa ama aombe radhi au kutoa maamuzi mengine ya kumfukuza chama. Taratibu hizi zote hazikuchukuliwa."
Via: Azam TV
Eleza ni utaratibu gani wa Katiba ya Chadema ambao haukufuatwa? Siyo umelewa mataputapu yako huko unajiropokea tu.Yuko sahihi utaratibu kulingana na ratiba lazima ufuatwe.
Kama CHADEMA inashindwa kufuata katika yake vipi kuhusu katiba ya nchi?
Tukiendekeza haya tutakuja kulia siku ikishika nchi.
Said Issa Mohammed, aliyefukuzwa uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa madai ya kukiuka katiba, kanuni na miongozo ya chama, amesema uamuzi huo ni kinyume na katiba ya chama hicho.
Hatua ya kumfukuza ilipitishwa na Kamati Tendaji ya Kanda ya Pemba baada ya kuhusishwa na kufungua kesi dhidi ya bodi ya wadhamini na Katibu Mkuu wa CHADEMA, shauri ambalo baadaye lilitupiliwa mbali na Mahakama Kuu kutokana na kasoro zilizobainika.
Soma: Said Issa Mohamed aliyeishtaki CHADEMA atimuliwa rasmi Uanachama kwenye chama hicho
"Kwa sababu katiba ya chama inaeleza utaratibu mzima wa namna ya wanachama kuvuliwa uanachama, ikiwemo haki ya kuitwa kwenye kikao halali ambacho tuhuma zitasomwa na inatakiwa tuhuma hizo ziandikwe ili ajipange kuzijibu, na kikao hicho kitampa fursa ya kujieleza na kujitetea juu ya tuhuma ambazo zimetuhumiwa kwake. Na pale kitakapokuwa chama kimeona kinadhibitisha juu ya tuhuma hiyo, basi chama kinaendelea na mchakato mwingine ukiwemo wa kumtaka mtuhumiwa ama aombe radhi au kutoa maamuzi mengine ya kumfukuza chama. Taratibu hizi zote hazikuchukuliwa."
Via: Azam TV
Kifungu gani kinasema hivyo.
Mahakama iliwaambia mfuate utaratibu ili kufukuzwa kwake kukamilike lakini hamkufanya hivyo. Kisheria alikuwa na bado ni mwanachama.
Ulikuwa kweli mpango wa CCM lakini CDM walichangia kuuwezesha kufanikiwa.
Sio Matiko peke yake. Nadhani hata Slaa aliwahi kusema kuwa kwa vile hakurudisha kadi ya CCM alikuwa mwanachama wake hata alipokuwa KM wa CDM.
Kuna mbunge mwingine alitangaza kujitoa CDM na kujiunga CCM lakini Ndugai akamwambia ataendelea kuwa mbunge wa Chadema mpaka kipindi chake kitakapoisha.
Yote haya ndio yananifanya nishangae mnarudia kosa lile lile. Hapo si kumpa upenyo wa kufungua kesi dhidi ya CDM ya udhalilishaji na kutotendewa haki? Na si anaweza kuomba zuio tena wakati kesi mpya inaendelea?
Huyu jamaa hana cheo chochote CDM, mngempotezea na kumtenga mpaka mwenyewe aamue kujitoa.
Amandla...
Nawe ni zombie kwl chadema kulivyo na njaa mtu atataka nini huko?Hili jamaa pambaf kabisa.
Unanyea kiganja kilichokushika, kikikatwa unaanza kulalamika.
Kama alitumwa basi ajue ametumika kama toilet paper!
Sasa si amshukuru Mungu, kubaki chadema ni kutaka sonona, mshukuru Mungu amekukomboa, chama gani kazi yao matusi, upotoshaji, chuki, makasiriko, uchochezi, aisee hapana aliyeondoka huko amshukuru Mungu wakeSaid Issa Mohammed, aliyefukuzwa uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa madai ya kukiuka katiba, kanuni na miongozo ya chama, amesema uamuzi huo ni kinyume na katiba ya chama hicho.
Hatua ya kumfukuza ilipitishwa na Kamati Tendaji ya Kanda ya Pemba baada ya kuhusishwa na kufungua kesi dhidi ya bodi ya wadhamini na Katibu Mkuu wa CHADEMA, shauri ambalo baadaye lilitupiliwa mbali na Mahakama Kuu kutokana na kasoro zilizobainika.
Soma: Said Issa Mohamed aliyeishtaki CHADEMA atimuliwa rasmi Uanachama kwenye chama hicho
"Kwa sababu katiba ya chama inaeleza utaratibu mzima wa namna ya wanachama kuvuliwa uanachama, ikiwemo haki ya kuitwa kwenye kikao halali ambacho tuhuma zitasomwa na inatakiwa tuhuma hizo ziandikwe ili ajipange kuzijibu, na kikao hicho kitampa fursa ya kujieleza na kujitetea juu ya tuhuma ambazo zimetuhumiwa kwake. Na pale kitakapokuwa chama kimeona kinadhibitisha juu ya tuhuma hiyo, basi chama kinaendelea na mchakato mwingine ukiwemo wa kumtaka mtuhumiwa ama aombe radhi au kutoa maamuzi mengine ya kumfukuza chama. Taratibu hizi zote hazikuchukuliwa."
Via: Azam TV
Sasa CCM si ndiyo mambo yote?Aende CCM waliomtuma kufanya ujinga wa kuihujumu Chadema.
akajiunge na waliomtuma kufungua kesi dhidi ya CHADEMA. Huwezi kuwa Mhaya halafu unaliburuza mahakamani kabila lakoSaid Issa Mohammed, aliyefukuzwa uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa madai ya kukiuka katiba, kanuni na miongozo ya chama, amesema uamuzi huo ni kinyume na katiba ya chama hicho.