PostGE2025 Said Issa: Uamuzi wa kunifukuza CHADEMA siyo halali

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kuhusu mipango ya Ndugai na Yule Mbunge na hata covid 19 ulikuwa uvunjifu wa katiba wa bunge, unajua ila unataka kunipotezea muda, uwe na siku njema
Kwa kweli hauna sababu ya kunijibu kama unaamini kuwa nia yangu ni kukupotezea muda. Sio lazima tujibishane kama mmoja anaona hamna tija. Ndio uzuri wa www. Kila mmoja ana uhuru wa mtazamo na uamuzi wake.

Amandla...
 
Hata Zitto Kabwe alifukuzwa Chadema kwa kukishitaki Chama Mahakamani, huyo boya atulie tu kama hakubargain vizuri kupewa donge nono wakati anapewa kandarasi hiyo ajue imekula kwake CCM hawana matumizi naye tena
 
Masnichi ya masiji hayo
 
Yuko sahihi utaratibu kulingana na ratiba lazima ufuatwe.
Kama CHADEMA inashindwa kufuata katika yake vipi kuhusu katiba ya nchi?
Tukiendekeza haya tutakuja kulia siku ikishika nchi.
Eleza ni utaratibu gani wa Katiba ya Chadema ambao haukufuatwa? Siyo umelewa mataputapu yako huko unajiropokea tu.
 
Yuko hatua za mwisho CCM kumtupa kama toilet paper baada ya kumtumia, hataamini macho yake.
 

Mtume ﷺ amesema:
"Mwenye kufanya Akhera kuwa lengo lake kuu, Mwenyezi Mungu huweka utajiri moyoni mwake, humkusanyia mambo yake, na dunia humjia hali ya kuwa imedhalilika. Na mwenye kufanya dunia kuwa lengo lake kuu, Mwenyezi Mungu huweka umaskini mbele ya macho yake, humtawanya mambo yake, na hapati duniani isipokuwa kile alichoandikiwa."
Imepokewa katika Sunan al-Tirmidhi.

Hadithi hizi hazimaanishi kwamba Muislamu asijihusishe na siasa, biashara, au shughuli za kijamii. Zinamaanisha kwamba mambo hayo yasichukue nafasi ya utiifu kwa Mwenyezi Mungu na maandalizi ya Akhera. Lengo kuu la Muislamu linapaswa kuwa kupata radhi za Mwenyezi Mungu huku akitekeleza majukumu yake duniani kwa uadilifu na maadili mema.
 

Naunga mkono hoja yako Chama cha Siasa kikiwa na Sheria iyo yani ukienda kutafuta haki Mahakamani ni kosa kubwa la kujifukudhisha!!!!

sasa ni Chama cha Siasa au ni Taasisi ya football ⚽️
 
Sasa si amshukuru Mungu, kubaki chadema ni kutaka sonona, mshukuru Mungu amekukomboa, chama gani kazi yao matusi, upotoshaji, chuki, makasiriko, uchochezi, aisee hapana aliyeondoka huko amshukuru Mungu wake
 
akajiunge na waliomtuma kufungua kesi dhidi ya CHADEMA. Huwezi kuwa Mhaya halafu unaliburuza mahakamani kabila lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…