PostGE2025 Said Issa: Uamuzi wa kunifukuza CHADEMA siyo halali

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
kafutwa uanachama isivyo sahihi gentleman,

in fact,
natamani utaratibu ufuatwe kwa mujibu wa Katiba ya chadema na itapendeza zaidi, otherwise tutashuhudia vichekesho zaidi kwa jambo hili dooogo tu, la mtu moja dhidi ya chama kizima 🐒
Itifaki imezingatiwa.
 
Haya ni maajabu!
 
Kwa nini
Kwa nini waanga wengi wanaofukuzwa CHADEMA ni Waislam?
 
Kwa nini
Kwa nini waanga wengi wanaofukuzwa CHADEMA ni Waislam?
 
Kwa nini waanga wengi wanaofukuzwa CHADEMA ni Waislam?
 
Chadema ni sawa na taasisi ya Football ⚽️

ukipeleka kesi Mahakamani unakuwa umejifukuzisha mwenyewe!!!!

Au mm sijaelewa !!!
 
Yaani mtu uombe chama kizuiliwe kufanya shughuli za kisiasa halafu bado utake kuendelea kuwa mwanachama? Come on, gimme a break!
 
Yuko sahihi utaratibu kulingana na ratiba lazima ufuatwe.
Kama CHADEMA inashindwa kufuata katika yake vipi kuhusu katiba ya nchi?
Tukiendekeza haya tutakuja kulia siku ikishika nchi.

Aende mahakamani tena, yeye si bingwa wa kwenda mahakamani
 
Ukae kwenye uongozi miaka 15, husemi chochote, baada ya kukosa uongozi ndio ufungue kesi ambayo kimsingi ulipaswa kujifungulia wewe mwenyewe, utese chama na kufungiwa kazi zake, alafu utegemee uachwe hivi hivi... Kaa pembeni upigwe upepo vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…