TEKNOLOJIA
JF-Expert Member
- Jan 6, 2014
- 4,305
- 2,563
Natural justice kwa Lugumi lakini kwa Wilson Kabwe hakuna! Double standard at its best. Kwa hiyo Magufuli anaangalia utashi wake kutumbua na sio kufuata standard operating procedure....Umenena vyema sana .....baada ya principle of natural justice kufuatwa tusubr vyombo huska vituletee Majibu sahihi
Kwani lugumi ameajiriwa na magufuli. Kabwe ni muajiriwa wa serikali kwaiyo rais anaweza kumfukuza wakati wowote. Sasa lugumi atamfukuza kwenye kampuni yake? Kwani hiyo kampuni inamilikiwa na magufuli?Kwa hiyo mtoto Kabwe aliposemewa pale na Makonda halafu akatumbuliwa hadharani na huyo "Baba" hana haki ya kusikilizwa kama Lugumi? Au Kabwe ni mtoto wa Kambo na Lugumi ni mtoto wa ndoa?
Rais Magufuli anapenda sana sifa, anapenda sana media na kuonekana. Kama angekuwa na kifua angemtumbua Lugumi, lakini tumeambiwa "sio kila jipu la kutumbuliwa". Hizi double standards ndio zitamshusha Magufuli chini ni suala la muda. Mazuri yote anayofanya katika kukusanya kodi na kubana matumizi yatasahaulika
Hivi kumbe bangi zako zinakueleza majizi yanafukuzwa kazi!!! Mbulumundu at its best.Kwani lugumi ameajiriwa na magufuli. Kabwe ni muajiriwa wa serikali kwaiyo rais anaweza kumfukuza wakati wowote. Sasa lugumi atamfukuza kwenye kampuni yake? Kwani hiyo kampuni inamilikiwa na magufuli?
pole sana my ndugu lakini bado una nafasi ya kuhama Tanzania, unaweza kuhamia Somalia, Syria, Burundi, Libya na kwinginekoKwanini nilizaliwa mtanzania?

HATUDANGANYIKI LISEMWALO LIPO !hapa watu tunaambiwa tuzibe midomo yetu na tujenge nchi huku wala nchi ni wengine kabisaa hata buumu hawalijui I mean wameishia std 7 ila tu ujanja ujanja wao unawaweka mjini.then huku kijijin mnatwambia tumuulize mtendaji mapato na matumiz ya serilali yetu ya kijiji. Ebu sasa wao waonyeshe mfano waanze na mapato na matumizi ya hizo bil 37 jinsi zilivyotumika ambapo zingeweza kununua 740 john Deere tractor tena new model mpyaa kabisa ambazo zingesaidia kuinua sekta ya Kilimo nchini
Hatimae kampuni ya LUGUMI imejitokeza na kuelezea taarifa mbalimbali zinazoenea kwenye mitandao ya kijamii na kuita taarifa hizo ni za uzushi.
Yani kampuni INA profile hovyo kabisa ndo imepewa tender ya almost 40 billion tsh? Kha Tanzania noma sana.
Sehemu ya taarifa hii inasema nanukuu;
“Hivi karibuni kumekuwa na habari zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari kwa namna ambayo inapotosha ukweli kuhusu kampuni yetu iliyotekeleza mradi huu muhimu kwa nchi yetu na, mradi wa AFIS. Aidha taarifa hizo katika mitandao na magazeti mbalimbali imekuwa ikitoa habari zisizo na ukweli wowote kuhusu mtendaji mkuu Bwana Said H. Lugumi.
Ukweli ni kwamba mnamo mwaka 2011 Jeshi la Polisi liliingia mkataba na kampuni ya Lugumi Enterprises Limited wa kufunga mitambo ya utambuzi kwa kutumia alama za vidole (AFIS) katika vituo vya Polisi kwa mujibu wa matakwa ya Jeshi. Vituo vilikuwa nchi nzima Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar.”
Pia kuna sehemu ya taarifa hii inazidi kuchanganua nanukuu;
“Kwa mantiki hiyo basi, mambo yaliyo mengi yalitajwa katika vyombo vya habari si ya kweli na ni upotoshaji mkubwa na ni muhimu kuyapuuza, na kuendelea na shughuli za kawaida za ujenzi wa taifa. Ni katika muktadha huo huo tunapenda kuujulisha umma kwamba tuhuma nyingi za uzushi zimetungwa kumwelekea Mtendaji Mkuu Bwana Said H. Lugumi ikiwemo kuzushiwa kutoroka na kukamatwa nje ya nchi na kadhalika. Taarifa hizo ni uzushi mtupu, ni za kupuuza, Mkurugenzi wetu nchini na anaendelea na shughuli zake za kawaida”.
Soma zaidi kupitia viambatanisho hivi.
View attachment 340959
View attachment 340961
Tukiwatumbua Mbowe anasusa bunge na kudai katiba haifuatwi! Wacha kumsema Lugumi, tunatekeleza katiba sasa, amepewa muda wa kujieleza na uchunguzi unaendelea.Tuliwaambia wanalindana, tayari wameshapata ''ulinzi''
Hawaelezi tenda waliipata lini, kwanini wamelipwa 100% kazi ikiwa bado n.k.
Hawa CCM na Watumbua majipu ni wale wale, wanalindana ndio maana mafisadi wanatamba. Hii serikali haiwezi kuwa tofauti na zingine
Wanalindana! kesho anatumbuliwa Anne K Watanzania wanashangilia
Wameshawalinda tayari, kama ilivyo kwa kashafa nyingine
Msikilize Rais hapa VIDEO: Rais Magufuli awajibu Watetezi wa Haki za Binadamu. Asema wanaweza kuwa wanatetea uovuTukiwatumbua Mbowe anasusa bunge na kudai katiba haifuatwi! Wacha kumsema Lugumi, tunatekeleza katiba sasa, amepewa muda wa kujieleza na uchunguzi unaendelea.
Hatimae kampuni ya LUGUMI imejitokeza na kuelezea taarifa mbalimbali zinazoenea kwenye mitandao ya kijamii na kuita taarifa hizo ni za uzushi.
Sehemu ya taarifa hii inasema nanukuu;
“Hivi karibuni kumekuwa na habari zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari kwa namna ambayo inapotosha ukweli kuhusu kampuni yetu iliyotekeleza mradi huu muhimu kwa nchi yetu na, mradi wa AFIS. Aidha taarifa hizo katika mitandao na magazeti mbalimbali imekuwa ikitoa habari zisizo na ukweli wowote kuhusu mtendaji mkuu Bwana Said H. Lugumi.
Ukweli ni kwamba mnamo mwaka 2011 Jeshi la Polisi liliingia mkataba na kampuni ya Lugumi Enterprises Limited wa kufunga mitambo ya utambuzi kwa kutumia alama za vidole (AFIS) katika vituo vya Polisi kwa mujibu wa matakwa ya Jeshi. Vituo vilikuwa nchi nzima Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar.”
Pia kuna sehemu ya taarifa hii inazidi kuchanganua nanukuu;
“Kwa mantiki hiyo basi, mambo yaliyo mengi yalitajwa katika vyombo vya habari si ya kweli na ni upotoshaji mkubwa na ni muhimu kuyapuuza, na kuendelea na shughuli za kawaida za ujenzi wa taifa. Ni katika muktadha huo huo tunapenda kuujulisha umma kwamba tuhuma nyingi za uzushi zimetungwa kumwelekea Mtendaji Mkuu Bwana Said H. Lugumi ikiwemo kuzushiwa kutoroka na kukamatwa nje ya nchi na kadhalika. Taarifa hizo ni uzushi mtupu, ni za kupuuza, Mkurugenzi wetu nchini na anaendelea na shughuli zake za kawaida”.
Soma zaidi kupitia viambatanisho hivi.
View attachment 340959
View attachment 340961[/QUO
h
hahahahahahaha Kweli bongo hatari, umbea kila kona jambo hata halina ukweli watu wanapayuka na kulivalia njuga. Duuuuuh haya sasa wambea wote kazi kwenu.Hatimae kampuni ya LUGUMI imejitokeza na kuelezea taarifa mbalimbali zinazoenea kwenye mitandao ya kijamii na kuita taarifa hizo ni za uzushi.
Sehemu ya taarifa hii inasema nanukuu;
“Hivi karibuni kumekuwa na habari zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari kwa namna ambayo inapotosha ukweli kuhusu kampuni yetu iliyotekeleza mradi huu muhimu kwa nchi yetu na, mradi wa AFIS. Aidha taarifa hizo katika mitandao na magazeti mbalimbali imekuwa ikitoa habari zisizo na ukweli wowote kuhusu mtendaji mkuu Bwana Said H. Lugumi.
Ukweli ni kwamba mnamo mwaka 2011 Jeshi la Polisi liliingia mkataba na kampuni ya Lugumi Enterprises Limited wa kufunga mitambo ya utambuzi kwa kutumia alama za vidole (AFIS) katika vituo vya Polisi kwa mujibu wa matakwa ya Jeshi. Vituo vilikuwa nchi nzima Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar.”
Pia kuna sehemu ya taarifa hii inazidi kuchanganua nanukuu;
“Kwa mantiki hiyo basi, mambo yaliyo mengi yalitajwa katika vyombo vya habari si ya kweli na ni upotoshaji mkubwa na ni muhimu kuyapuuza, na kuendelea na shughuli za kawaida za ujenzi wa taifa. Ni katika muktadha huo huo tunapenda kuujulisha umma kwamba tuhuma nyingi za uzushi zimetungwa kumwelekea Mtendaji Mkuu Bwana Said H. Lugumi ikiwemo kuzushiwa kutoroka na kukamatwa nje ya nchi na kadhalika. Taarifa hizo ni uzushi mtupu, ni za kupuuza, Mkurugenzi wetu nchini na anaendelea na shughuli zake za kawaida”.
Soma zaidi kupitia viambatanisho hivi.
View attachment 340959
View attachment 340961
hahahahahahaha wabongo kweli noma, kila jambo tunalivalia njuga kuliongelea hadi basi wakati halina ukweli wowote.Kweli wabongo kwa Uzushi tumepitiliza.Ifike pahala tuache uzushi lol.Hatimae kampuni ya LUGUMI imejitokeza na kuelezea taarifa mbalimbali zinazoenea kwenye mitandao ya kijamii na kuita taarifa hizo ni za uzushi.