Said Mtanda: Msemaji wa Simba anatumia Umaarufu wake kunichafua

Said Mtanda: Msemaji wa Simba anatumia Umaarufu wake kunichafua

“Ahmed Ally amenikosea sana, anatumia umaarufu wake kunichafua, Mimi siyo kiongozi Wa kwanza kushabikia Yanga”

Mh Said Mtanda, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kupitia kipindi cha michezo cha Crown Sports ya Crown FM

Una maoni gani?
Utopolo ina wasemaji wengi sana ila wote mabwege
 
Back
Top Bottom