Said Mtanda: Msemaji wa Simba anatumia Umaarufu wake kunichafua

Said Mtanda: Msemaji wa Simba anatumia Umaarufu wake kunichafua

Kwani yeye RC katumia cheo chake vizuri?

Kila mtu atumie cheo chake kwa faida yake.

Kaigharimu pamba imechezea kichapo kwani kila jicho la TFF lilikuwa pale kuona ikiwa kuna hujuma kwa Simba mechi ya leo.

Ahmed Ally kacheza vema karata zake

Kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake
“Ahmed Ally amenikosea sana, anatumia umaarufu wake kunichafua, Mimi siyo kiongozi Wa kwanza kushabikia Yanga”

Mh Said Mtanda, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kupitia kipindi cha michezo cha Crown Sports ya Crown FM

Una maoni gani?
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Kwani hujui kuwa RAGE alisema wana51mba ni mbumbumbu?
Najua, kwani hujui Manara alisema wenye akili Yanga ni wawili tu, mzee Manara na mzee Kikwete. Sasa sijui hao wengine hata sitaki kuwataja kwa vyeo vyao wana akili au hawana?😄😃🤣
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
“Ahmed Ally amenikosea sana, anatumia umaarufu wake kunichafua, Mimi siyo kiongozi Wa kwanza kushabikia Yanga”

Mh Said Mtanda, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kupitia kipindi cha michezo cha Crown Sports ya Crown FM

Una maoni gani?
Simba ni kubwa kuliko mtu. Apeleke ushabiki wake maandazi kwa waliomtuma asitubabaishe sisi.
 
Usisahau aliyesema nyie ni mbumbumbu aliyasema hayo akiwa mwenyekiti wenu. Hivyo anawajua sana. Na kaduguda akaja kusisitiza umbumbumbu wenu..!!
Kwani aliyesema Yanga ni MANYANI hakuwa kocha wenu wa Yanga. Acha kujitoa ufahamu Topolo mkubwa bheye.

Anyway huwezi elewa maana akili huna. Ni wawili tu wenye akili Yanga
 
Huna akili wewe Utopolo nyamaza, wenye akili ni wawili tu Yqnga
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Huyo RC ni mwehu tu,slogan ya simba ni ubaya ubwela sasa sijui ameichokoza Simba ya nini,bora atulie tu
 
Kwani hujui kuwa RAGE alisema wana51mba ni mbumbumbu?
Kweli kuna mzungu alisema viongozi na mashabiki wa UTOPOLO ni MANYANI na kuna mzungu pori mwingine aliskika akisema, nanukuu
Kuanzia viongozi na wanachama pamoja na mashabiki duniani wa UTOPOLO wenye akili wapo wawili tu.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Nimemsikia RC! Kiukweli Ahmed Ally na baadhi ya mashabiki wa simba, wana uwezo mdogo sana wa kufikiri. Mihemko na bendera fuata upepo ndiyo sifa yao.
Kwann umsikie RC tu peke yake na kumuamini na sio Ahmed Ally?
Ahmed Ally anafaidika na nini kumchafua RC kwa vitu vya kutunga au anaitaka hiyo nafasi yake?
 
Wenye akili Yanga ni wawili tu
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC.
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC.
22. Ubaya ubwege SC.
23. 5imba SC.
24. Visingizio SC (Visababu)
25. Manguruwe SC.
JamiiForums-2104962820.jpeg
 
Kwann umsikie RC tu peke yake na kumuamini na sio Ahmed Ally?
Ahmed Ally anafaidika na nini kumchafua RC kwa vitu vya kutunga au anaitaka hiyo nafasi yake?
Ushahidi wa huyo Ahmed Ally uko wapi nje ya hizo shutuma alizozitoa kwa njia ya mdomo? Kulikuwa hakuna vifaa vya kurekodia hayo matukio? Hao akina Matola walipelekwa kituo gani cha polisi baada ya kukamatwa?
 
Back
Top Bottom