maranguvillage
JF-Expert Member
- Sep 8, 2023
- 935
- 2,096
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaamuuliza nani sasa. Si ujijibu mwenyeweUshahidi wa huyo Ahmed Ally uko wapi nje ya hizo shutuma alizozitoa kwa njia ya mdomo? Kulikuwa hakuna vifaa vya kurekodia hayo matukio? Hao akina Matola walipelekwa kituo gani cha polisi baada ya kukamatwa?
Nimemsikia RC! Kiukweli Ahmed Ally na baadhi ya mashabiki wa simba, wana uwezo mdogo sana wa kufikiri. Mihemko na bendera fuata upepo ndiyo sifa yao.
Rais wetu hana akili za kitoto za kumuondoa MTUMISHI kazini kisa eti Ahmed Ally na Simba. Huo ujinga bakini nao huko kwenye vilabu vyenu. Msiulete Serikalini!Awe makini ataliwa kichwa
Huna akili wewe wenye akili ni wawili tuUshahidi wa huyo Ahmed Ally uko wapi nje ya hizo shutuma alizozitoa kwa njia ya mdomo? Kulikuwa hakuna vifaa vya kurekodia hayo matukio? Hao akina Matola walipelekwa kituo gani cha polisi baada ya kukamatwa?
Unaumwa mzee baba .....ngoja siku yawakute..na ashukuru tumeishia hapo la sivyo hii ishu ingeenda juu Tanzania ingekua kama kenya...Nimemsikia RC! Kiukweli Ahmed Ally na baadhi ya mashabiki wa simba, wana uwezo mdogo sana wa kufikiri. Mihemko na bendera fuata upepo ndiyo sifa yao.
Nyie ni Mazuzu kama mlivyoitwa kwa sbb hamfikirii impact ya siasa na mpira..leo mnaongea hivyo kwa sbb sio nyie.....51mba wote ni mbumbumbu..!! Sababu anazijua Rage na Kaduguda.
Wakati mwingine badala ya kukimbilia kwenye ile mihemko yenu, muwe mnajiongeza kufanya utafiti kwanza na kujiridhisha.Unaumwa mzee baba .....ngoja siku yawakute..na ashukuru tumeishia hapo la sivyo hii ishu ingeenda juu Tanzania ingekua kama kenya...
Kama wenyewe tu wameshindwa kumuondoa Mwenyekiti wao Mangungu, ndiyo watamuweza mteule wa Rais wa CCM kweli! Au ndiyo mambo yale yale ya kukosa kazi za kufanya kwa Watanzania walio wengi!!Rais wetu hana akili za kitoto za kumuondoa MTUMISHI kazini kisa eti Ahmed Ally na Simba. Huo ujinga bakini nao huko kwenye vilabu vyenu. Msiulete Serikalini!
Ww kama umefanya utafiti ni lipi umekuja nalo la kiutafiti??Wakati mwingine badala ya kukimbilia kwenye ile mihemko yenu, muwe mnajiongeza kufanya utafiti kwanza na kujiridhisha.
Utafiti wangu mdogo tu na usio rasmi, nimegundua Watanzania wengi wanaendesha na mihemko, huku uwezo wao wa kufikiri na kuhoji kabla matukio; ukiwa uko kwenye kiwango cha chini kupitiliza.Ww kama umefanya utafiti ni lipi umekuja nalo la kiutafiti??
Acha mbambamba baba..kama huoni kosa endelea kukaza shingo ikatike..Utafiti wangu mdogo tu na usio rasmi, nimegundua Watanzania wengi wanaendesha na mihemko, huku uwezo wao wa kufikiri na kuhoji kabla matukio; ukiwa uko kwenye kiwango cha chini kupitiliza.
Ahahahahaha! Mkuu ujue na mimi ni Simba ingawaje utotoutoto uliooneshwa na viongozi na washabiywa Simba hapa Mwanza siuungi mkono kabisa!!Kama wenyewe tu wameshindwa kumuondoa Mwenyekiti wao Mangungu, ndiyo watamuweza mteule wa Rais wa CCM kweli! Au ndiyo mambo yale yale ya kukosa kazi za kufanya kwa Watanzania walio wengi!!
“Ahmed Ally amenikosea sana, anatumia umaarufu wake kunichafua, Mimi siyo kiongozi Wa kwanza kushabikia Yanga”
Mh Said Mtanda, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza kupitia kipindi cha michezo cha Crown Sports ya Crown FM
Una maoni gani?
Kwani Tanzania ina watu wenye akili kila kukicha Nchi inalipa faini mahakamani huko au unadhani akili zitumike kwenye ushabiki wa mambo ya kipuuzi..Wenye akili Yanga ni wawili tu