born again pagan
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 2,336
- 1,491
Is KING behind the death! tega sikio!
Waswahili mmeanza..! Na sikio hatutegi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Is KING behind the death! tega sikio!
Vile vile kama kawaida wale jamaa zetu wa kijani, wataanza kufanya censor ya kisirisiri, kuwa nani kahudhuria kwenye msiba wa mzee Small na nani hakuhudhuria!utaskia oh alikua mtu muhimu ktk jamii cjui kioo cha jamii tz tmepoteza mtu mashuhuri sana .....sasa jamani tuna hitaji mchango wenu sana ila wakati anaumwa ah hawakumpa msaada vya kutosha...
confirmedKuna taarifa nilozozipata
hivi punde kuwa muigizaji Said Ngamba au Mzee Small Amefariki dunia
baada ya kuugua muda mrefu.
Natanguliza pole kwa wafiwa.
confirmed
niko msibani maana mzee small ni jirani yangu kabisa mita kumi kutoka kwangu, nitawadondoshea up date yatakayojiri
confirmed
niko msibani maana mzee small ni jirani yangu kabisa mita kumi kutoka kwangu, nitawadondoshea up date yatakayojiri
kwa mujibu wa ndugu wa marehemu wa karibu mazishi yatafanyika kesho katika makaburi ya segerea saa kumi jioni. bado mpaka mida hii sijawaona wale jamaa zetu wa lidas labda hadi kufikia mchana tutapata habari mpy kama ataagwa kule uwanjani au shughuli itaishia hapa nyumbani kwakeRIP mzee small
kwa mujibu wa ndugu wa marehemu wa karibu mazishi yatafanyika kesho katika makaburi ya segerea saa kumi jioni. bado mpaka mida hii sijawaona wale jamaa zetu wa lidas labda hadi kufikia mchana tutapata habari mpy kama ataagwa kule uwanjani au shughuli itaishia hapa nyumbani kwake