Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliisaidia sana sanaa yetu mpaka hapa ilipofika. Mungu akuepushie adhabu ya kifo. RIP Mzee Small.
TANZIA, TANZIA, TANZIA.
NI KATIKA TASNIA YA UIGIZAJI TENA KUMETOKEA MSIBA MKUBWA WA KUGUSA HISIA ZETU..
MZEE SMALL AFARIKI DUNIA
Muigizaji mkongwe nchini, Said Ngamba maarufu kwa jina la Mzee Small amefariki dunia usiku huu akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar.
Mzee Small amefariki kwa ugonjwa wa presha baada ya kuugua kwa muda mrefu kabla ya kuzidiwa jana na kupelekwa Muhimbili.
Mtoto wa marehemu aitwaye, Muhidin amethibitisha kifo cha Mzee Small.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI. AMEN!
KIFO NI NJIA YA KILA MWANADAMU NA NI MAWAIDHA TOSHA KWETU KUZIDISHA HOFU KWA MUUMBA WETU NA KUZIDI KUFANYA IBADA YA KUMWOBA MAGHUFIR MWENYEZI MUNGU.
Innalillah waina ina ilah rajiuun...bwana ametoa,bwana ametwaa,jina lake lihimidiwe!!! Tumeumbwa kwa ufongo, tutarudi kwa udongo.