TANZIA Said Ngamba alias 'Mzee Small wa Ngamba' afariki dunia

TANZIA Said Ngamba alias 'Mzee Small wa Ngamba' afariki dunia

Uliisaidia sana sanaa yetu mpaka hapa ilipofika. Mungu akuepushie adhabu ya kifo. RIP Mzee Small.

Utakuwa walewale watoa rushwa!! Mungu hapokei wa hatowi rushwa. So usimpe Mungu rushwa ya maneno, hukumu yeke anajua namna ya kuitoa mwenyewe haangali sifa mnazotoa anajua.
 
Aisee hawa jamaa wataisha sasa
Sijuwi nani atafuata hapo dah pole familia ya komredi small

Unaposema hujui nani atafuatia wewe unalijua salio lililobaki la kiasi cha maisha yako? Uwe tayari kwa vile huijui siku wa saa atakapo kuja mwana wa Adamu kuchukua kilicho chake kesha na kusali ndugu.
 
Bongo muvi mwaka huu watapata sehemu za kuuza sura mpaka basi.
 
RIP mzee. Nakumbuka 3 yrs ago nilikutana naye pale Mnazi Mmoja kwenye maonyesho ya siku ya utumishi wa umma.
 
kwa hiyo misiba ya wasanii wa kiislamu haifai kupiga dili.....?

Unapigaje dili mtu anakufa leo anazikwa leo au kesho. Dili zinapigwa kwenye misiba ya wagala na mbwembwe zenu zilizojaa bajeti za bia,mziki, mc,suti za maiti na majeneza ya dhahabu
 
unapigaje dili mtu anakufa leo anazikwa leo au kesho. Dili zinapigwa kwenye misiba ya wagala na mbwembwe zenu zilizojaa bajeti za bia,mziki, mc,suti za maiti na majeneza ya dhahabu

mashoga kwa kupiga dili acha...mkuu umesahau na matarumbeta
 
walikubali kuisuport ccm sasa wacha wavune walichokipanda.
Khaa!! Bangi mbaya sana. Wenzenu zamani tulikuwa tunavuta kwa kusudio maalum, kama kulima au kufanya kazi yeyote ngumu. Nyie siku hizi mnajivutiavutia tu ndiyo maana mnakuwa machizi:baby:
 
Back
Top Bottom