TANZIA Said Ngamba alias 'Mzee Small wa Ngamba' afariki dunia

TANZIA Said Ngamba alias 'Mzee Small wa Ngamba' afariki dunia

Poleni sana Wanafamilia huyu Mzee kaumwa muda Mrefu sana kama Mzee Kipara , ila sasa utaone hekaheka za Bwafulani kwenye kuuguza mhhh!
 
Mungu ailaze mahali pema peponi roho ya marehemu small wangamba.Nakumbuka maigizo yenu wewe na King Majuto CTN wakati huo,hamsini hamsini mia.Mwandishi wa habari hii Kilwa haipo Pwani ipo Lindi.
 
Muigizaji maarufu hapa nchini Said Ngamba (Mzee Small), amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya Muhimbili alipokuwa amelazwa kwa matibabu.
Mwanaye aitwaye Mahmoud amesema baba yake (Mzee Small) amefariki saa 4 usiku na tatizo kubwa lililokuwa linamsumbua ni presha.
R.I.P Mzee Smal.
 

Attachments

  • 10456465_933868953294190_2120628960014083212_n.jpg
    10456465_933868953294190_2120628960014083212_n.jpg
    28.7 KB · Views: 158
Mods naomba uhamishie hii habari kwenye jukwaa husika. Haihusiana na siasa.
cc: Paw
 
Last edited by a moderator:
Mlaze pema peponi kamanda. RIP MZEE SMALL.
 
Pumzika kwa amani Mzee Small!!!!!!!!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
RIP Mzee Said Ngamba aka Mzee Small.

Tiba
 
R.I.P mzee small kada wa ccm. Tunasubiri viongozi wa chama wahudhurie mazishi yako.
 
inna lilah wainna ilaih raajiun pumzika kwa amani mzee small
 
msilete siasa kwenye mambo serious ishu za kada wa ccm zimeingiaje humu?!
 
Back
Top Bottom