kwanini?Huyu jamaa hanaga ratiba
Huyu jamaa hanaga ratiba
J.K. mtu wa maana sana.
naona umechukia kwa ajili amekiuka amri ya yesu ya waacheni wafu wawazika wafu.Mkome kuchagua rais kakulia kwenye kupiga vidufu
kwani we nani hadi umpangie rais cha kufanya?Hivi waziri wa michezo na utamaduni hayupo?
Maana mzee angeenda kwenye shughuli nyingine za kujenga taifa
umeambiwa ikulu ni hospitali?Wakati nasikia alikua akienda ikulu anafukuziwa getini,matibabu kakosa huu ni unafiiki wa hali ya juu
Hivi waziri wa michezo na utamaduni hayupo?
Maana mzee angeenda kwenye shughuli nyingine za kujenga taifa