TANZIA Said Ngamba alias 'Mzee Small wa Ngamba' afariki dunia

TANZIA Said Ngamba alias 'Mzee Small wa Ngamba' afariki dunia

wana jf wakaao Tabata kimanga watusaidie ku confirm. Huyu mzee anakaa Tabata kimanga.
 
Du Kama ni kweli basi hiyo tasnia ya filam imechukua ile ya mziki Wa dance idara ya msondo ngoma,...R.I.P..Mzee Small.
 
Sitaki kuamini kama bakhresa ali amua kumtosa mzee small mnadi maarufu wa bidhaa za azamu,Rip mzee small.

Ye mwenyewe zake zikifika atavuta tu, lete chanzo (kama ni ethical) cha kifo then utaeleweka kulaumu. Yaweza kuwa ilikuwa incurable au late stage diagnosis sasa hata ukikausha account itasaidia nini????!!!!!

Kama hela ni kila kitu bilionea wa Man U angekuwepo!!!!!

Mwenyezi Mungu ampe mapumziko yaliyo bora!!!!
 
R.I.P Mzee Small mbele yetu nyuma sisi ulale kwa amni
 
Waswahili bwana! Alipofanya matangazo alilipwa! Kwa nini unadhani bakhresa aliwajibika kumsaidia alipoumwa? Iambie serikali yako itengeneze system njema ya health insurance na kuhakikisha wananchi wanapata msaada. Na pia iwepo system ya kuzuia unyonywaji wa wasanii alongside kada zote za jamii.
Sitaki kuamini kama bakhresa ali amua kumtosa mzee small mnadi maarufu wa bidhaa za azamu,Rip mzee small.
 
Pole kwa wafiwa.
Kwa Mola ni marejeo yetu Sote.
 
unauhakika mpaka utoe RIP?

tujijengee utamaduni wa kutotoa RIP mpaka habari iwe cinfirmed... huku ndo kuchuliana

cinfirmed ndio nini? kwani we ni nani? mbona unaonekana una uchungu kuliko wengine? kwanini usiwe wa kwanza kutafuta huo ushahid ili uje kudhibitisha hapa? unapenda kutafuniwa eeh? acha uvivu wewe!
 
Kuna mijitu ita jifanya imeguswa sana na kifo chake wakati hata kipindi ana umwa hawajawahi kwenda kumsabahi hata kumpigia simu ya pole tu hakuna....

.....Unafiki ni ufuasi wa shetani.....

watu pekee wajuzi wa kuteka misiba na kujifanya inawahusu moja kwa moja ni mawingu fm...
 
Kuna mijitu ita jifanya imeguswa sana na kifo chake wakati hata kipindi ana umwa hawajawahi kwenda kumsabahi hata kumpigia simu ya pole tu hakuna....

.....Unafiki ni ufuasi wa shetani.....

We ulijitoa vipi ndg kuchangia kipindi anaumwa kiasi cha kupaza sauti yako namna hii? Anyway, apumzike salama mzee small, nitamiss utani wako hasa kipindi kilee kwenye daladala za tabata!
 
r.I.P ngwiji,mueshimiwa kikwete pole pia kwa kumpoteza mmoja wapiga kampen wako.Nasubir kuona unafik wa wana bongo movie baadh wataojifanya kulia sana msiban,wakat anaumwa hawakuwah hata kumjulia hali.Ila wataguswa kwel msiban kwa kuvaa nguo nyeusi na kuvaa miwani.
 
Bwana alitoa, Bwana ametwaa jina la Bwana Lihidiwe
 
Back
Top Bottom