TANZIA Said Ngamba alias 'Mzee Small wa Ngamba' afariki dunia

TANZIA Said Ngamba alias 'Mzee Small wa Ngamba' afariki dunia

Kuna kiongozi yeyote alienda huko??

ImageUploadedByJamiiForums1402341818.392501.jpg

Alikuwepo ,kagonga chai na vile viandazi vidogo vile kasepa zake
 
Inalilah wainailayhi rajiun, huu ndo mwisho wa binadamu wote, hakuna ujanja
 
Mungu akubariki kwa taarifa akainue mtu kama wewe sikuyako ya tusipitwe nakitakachoendelea

Sikutishinamaanisha tukiandae mbele yake nyuma yako
 
Mungu akubariki kwa taarifa akainue mtu kama wewe sikuyako ya tusipitwe nakitakachoendelea

Sikutishinamaanisha tukiandae mbele yake nyuma yako

We jamaa bana.....
 
yes mwepesi wa kukimbia ofisi....na ikitokea msiba wa mtu anayemfahamu haraka haraka anafunga ofisi na kwenda msibani. Akitoka hapo si ajabu ukasikia anasafiri kwenda Rio kuangalia viwanja vya mpira

Piga mswaki kwanza ndo uje huku jf. Unanuka mdomo.
 
hakika kila lenye mwanzo halikosi mwisho!
 
JK mtu wa watu...rais wetu ana utu sana...hiyo thamani ya shilingi inayoshuka nenda kaipandishe wewe..au mwambie mumeo akkaipandishe,,nyambafu zako

haya bwana mie sina swali,nyie si ndio ileeee misukule ya buku7 za lumumba,wala siwashangai
 
Back
Top Bottom