Thegreatcardina
JF-Expert Member
- Mar 29, 2009
- 406
- 179
Utamuonea bure!Umeambiwa anaviwanda hadi nje ya nchi lakini collectively ndiyo anahela ndefu!Kwahiyo usikariri kuwa mapato yake yote yanatokea tanzania maana unawezakukuta kwa investment zake za bongo peke yake wapo wanaomburuza so siajabu kutokuwepo ktk orodha ya walipa kodi bora 20 hapa nchini.
Au kama una-data za kuthibitisha madai yako basi tuwekee jamvini na sisi tujionee.
ndipo ninaposhangaa
Nani?... Ngwinji? kwi! kwi! kwi! teh! teh! teh!
alafu kwenye walipa kodi 10 boran wa TRA hayumo, ndipo ujue sasa nani ni nani bongo!!Tajiri namba moja Bongo, namba 2 EA halafu bado anauza ice-ream kwenye vituo vya daladala na chapati za 500/= kama wajasiliamali wadogo wanawake!!
hapana!!!Huyu yuko kwenye ten ya walipa kodi?
mkuu hapo ni upeo wako na fikra zako zinapo ishia?
Mkuu,nakumbuka wanaume walivyomshughulikia kwa kuteketeza ngano yake tani nyingi;kama mfano kwa wengine wasiige mfano wake;lakini Mzee Sabodo,amevunja mwiko huo leo,pamoja na majasiri wachache!Aliwahi kuichangia CUF kipindi fulani, mkono wa chuma wa CCM
ukateketeza baadhi ya bidhaa zake.............
unaweza ukawa uko sahihi, swali: Je, analipa kodi sahihi?HONGERA SANA, NI MFANO Mzuri sana wa kijasriamali kwa Watanzania
Yaani jamaa ana $520 mil. hapa bongo hiii imeniuma kweli -hivi wakina Kimuga,Lyimo,Masanja,Mapunda,Nnko,Nyange hivi mpo wapi mbona uchuuzaji mmeanza zamani-mikakati yoote mara MKUKUTA na ile nyingine MKURABITA imefanya nini-haya jamani ngoja nikae kimya na wivu wangu!
je na wa kwanza ni nani EA?anamiliki kiasi gani?ningefurahi pia kuwajua wa 3,4,5.Yaani jamaa ana $520 mil. hapa bongo hiii imeniuma kweli -hivi wakina Kimuga,Lyimo,Masanja,Mapunda,Nnko,Nyange hivi mpo wapi mbona uchuuzaji mmeanza zamani-mikakati yoote mara MKUKUTA na ile nyingine MKURABITA imefanya nini-haya jamani ngoja nikae kimya na wivu wangu!
Kuna wafanyakazi wake kuna wakati wakikuwa wanalalamika hawajaajiriwa tangu waanze kazi pale kwake ni muda mrefu wako pale kama vibarua,sijui hilo limekaaje,kidini na kiutaratibu hapa duniani kwenye mapato,nahisi kama alikuwa anawanyima haki zao na pia serikali ilikuwa inanyimwa haki zake!
Katika nchi ya mfumo-kristu, Muislaam anaongoza kwa utajiri!