Said Salim Bakhresa akamata nafasi ya 30 katika orodha ya watu matajiri 40 barani Afrika – Forbes

Said Salim Bakhresa akamata nafasi ya 30 katika orodha ya watu matajiri 40 barani Afrika – Forbes

Jamaa kichwa sana huyu na I have a lot of respect for him. Hana makuu wala na yuko very humble. Sio kama matajiri uchwara wa kibongo wenye fujo za kijinga.
 
Kuhusu kulipa kodi WanaJF,huyu jamaa SSB anafanya biashara ya bidhaa ambazo asilimia kubwa zinazomwingizia faida kubwa kama unga wa ngano hazikatwi kodi kwa mujibu wa sheria za kodi za Tanzania (Exempt products),vile vile anapofanya export kwa mujibu wa sheria za kodi za nchi yetu,hizo bidhaa pia kodi yake ni 0% (yaani Zero rated products) hivyo,kodi anayolipa ni ile inayotokana na bidhaa kama maji (Bottled water,Ice cream) na sio tena unga wa mahindi kwan pia ni Exempt product,kwa hio tusimsakame kua halipi kodi ila anacheza na sheria za kodi za nchi yetu na kufanya biashara halali (Tax avoidance),huu ndio ufaham wangu mfupi kuhusu biashara za SSB,mwenye utaalam zaid anaweza kunisahihisha nilipokosea!
 
Bora hata huyo Bakhressa hata kama mna malalamiko ya kodi at least anatoa mchango mzuri kiuchumi, kiajira, charity work etc kuliko mafisadi mliowaweka kwenye serikali ambao kazi yao ni kukwapua tu ama kuua tembo. Kwa jinsi serikali hii ilivyokuwa na beef na Bakhressa sababu aliisaidia CUF, kama angekawa na issue na TRA saa hizi wangeshamkaba koo.
 
yani huyu jamaa simuoni ktk mambo ya kijamii mfano kujenga shul,hospital nk
alafu hata kwenye list ya walipa kodi wazuri hayupo
utazani utajiri wake wa mapepo
hapo ndo simuelewagi huyu tajiri asiye enda shule
sijui wenzangu mnamuonaje huyu tajiri wa kitanzania ?

KILIO KINAKUTOKA KWA DONGE
NAWEWE FANYA KAZI ACHA MAJUNGU
:laugh: :laugh: :laugh:
 
bora hata huyo bakhressa hata kama mna malalamiko ya kodi at least anatoa mchango mzuri kiuchumi, kiajira, charity work etc kuliko mafisadi mliowaweka kwenye serikali ambao kazi yao ni kukwapua tu ama kuua tembo. Kwa jinsi serikali hii ilivyokuwa na beef na bakhressa sababu aliisaidia cuf, kama angekawa na issue na tra saa hizi wangeshamkaba koo.

word up...!!
 
Safi sana...Cha ajabu kwenye list ya walipa kodi wazuri wa taifa hili hayumo...........
 
Ni barani Afrika lakini hawa tycoons robo tatu ni ngozi nyeupe!

kweli kabisa,afazal nigeria wamejitaidi matajiri wengi ni mablack,na kenya kidogo,ukija tanzania matajiri wengi ni waarabu na waindi japo ni watz
 
Kuhusu kulipa kodi WanaJF,huyu jamaa SSB anafanya biashara ya bidhaa ambazo asilimia kubwa zinazomwingizia faida kubwa kama unga wa ngano hazikatwi kodi kwa mujibu wa sheria za kodi za Tanzania (Exempt products),vile vile anapofanya export kwa mujibu wa sheria za kodi za nchi yetu,hizo bidhaa pia kodi yake ni 0% (yaani Zero rated products) hivyo,kodi anayolipa ni ile inayotokana na bidhaa kama maji (Bottled water,Ice cream) na sio tena unga wa mahindi kwan pia ni Exempt product,kwa hio tusimsakame kua halipi kodi ila anacheza na sheria za kodi za nchi yetu na kufanya biashara halali (Tax avoidance),huu ndio ufaham wangu mfupi kuhusu biashara za SSB,mwenye utaalam zaid anaweza kunisahihisha nilipokosea!

umeongea mkuu,wengi awajui wanalalamika tu,bizaa za chakula kodi yake ipo kidogo sana,kwa sababu chakula ni basic needs,ili kila mtanzania apate mlo,sababu watu awajui wanaanza kuaribu hali ya ewa
 
Safi sana...Cha ajabu kwenye list ya walipa kodi wazuri wa taifa hili hayumo...........

mkuu bidhaa za chakula nyingi hazina kodi,na zenye kodi uwa ni kidogo sana,kwa sababu chakula ni maitaj ya lazima tofaut na bia na sigara ambazo kila mwaka kodi yake inapanda sababu si vya lazima,natumain umenielewa mkuu
 
Tumsapoti kwa kununua bidhaa zake zaidi ili aendelee kutupeperushia bendera yetu. 2030 awe juu ya Dangote
 
Du basi jamaa anampunga sana yani anamzidi anamzidi Young Money CEO Birdman kwa Mara 27 aisee hatareee!!
 
Back
Top Bottom