Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yani huyu jamaa simuoni ktk mambo ya kijamii mfano kujenga shul,hospital nk
alafu hata kwenye list ya walipa kodi wazuri hayupo
utazani utajiri wake wa mapepo
hapo ndo simuelewagi huyu tajiri asiye enda shule
sijui wenzangu mnamuonaje huyu tajiri wa kitanzania ?
bora hata huyo bakhressa hata kama mna malalamiko ya kodi at least anatoa mchango mzuri kiuchumi, kiajira, charity work etc kuliko mafisadi mliowaweka kwenye serikali ambao kazi yao ni kukwapua tu ama kuua tembo. Kwa jinsi serikali hii ilivyokuwa na beef na bakhressa sababu aliisaidia cuf, kama angekawa na issue na tra saa hizi wangeshamkaba koo.
Mengi kashika nafasi ya ngapi?
NAYEYE ATAMBE???
ATAMBIE KITU GANI,,
:madgrin: :madgrin:
KILIO KINAKUTOKA KWA DONGE
NAWEWE FANYA KAZI ACHA MAJUNGU
:laugh: :laugh: :laugh:
Mengi kashika nafasi ya ngapi?
Ni barani Afrika lakini hawa tycoons robo tatu ni ngozi nyeupe!
Kuhusu kulipa kodi WanaJF,huyu jamaa SSB anafanya biashara ya bidhaa ambazo asilimia kubwa zinazomwingizia faida kubwa kama unga wa ngano hazikatwi kodi kwa mujibu wa sheria za kodi za Tanzania (Exempt products),vile vile anapofanya export kwa mujibu wa sheria za kodi za nchi yetu,hizo bidhaa pia kodi yake ni 0% (yaani Zero rated products) hivyo,kodi anayolipa ni ile inayotokana na bidhaa kama maji (Bottled water,Ice cream) na sio tena unga wa mahindi kwan pia ni Exempt product,kwa hio tusimsakame kua halipi kodi ila anacheza na sheria za kodi za nchi yetu na kufanya biashara halali (Tax avoidance),huu ndio ufaham wangu mfupi kuhusu biashara za SSB,mwenye utaalam zaid anaweza kunisahihisha nilipokosea!
Safi sana...Cha ajabu kwenye list ya walipa kodi wazuri wa taifa hili hayumo...........
hayumo hata kwenye 10 bora ya walipaji kodi au labda analipa kwa chama mojakwa mojaTRA hesabu zao zikoje?
Mengi kashika nafasi ya ngapi?
Katika nchi ya mfumo-kristu, Muislaam anaongoza kwa utajiri!
Sasa hivi mjadala utaelekea kwingine!!