Said Salim Bakhresa akamata nafasi ya 30 katika orodha ya watu matajiri 40 barani Afrika – Forbes

Said Salim Bakhresa akamata nafasi ya 30 katika orodha ya watu matajiri 40 barani Afrika – Forbes

SSM anachangia ngapi? Tukishajua ndiyo tutatajua ni kwa nini hayuko katika kundi la walipa kodi bora Tz!!!! Ha ha ha!!! Ana enjoy misamaha ya kodi badala ya kulipa kodi!!!! Wekeza katika sekta ambazo zina ahueni!! Mjanja huyo!!
 
Yaani jamaa ana $520 mil. hapa bongo hiii imeniuma kweli -hivi wakina Kimuga,Lyimo,Masanja,Mapunda,Nnko,Nyange hivi mpo wapi mbona uchuuzaji mmeanza zamani-mikakati yoote mara MKUKUTA na ile nyingine MKURABITA imefanya nini-haya jamani ngoja nikae kimya na wivu wangu!
 
Jamaa kichwa sana huyu na I have a lot of respect for him. Hana makuu wala na yuko very humble. Sio kama matajiri uchwara wa kibongo wenye fujo za kijinga.

Amejenga departure terminal 2 bandarini ambayo inahudumia abiria wote. Ndio maana siku zote ana enjoy goodwill ya wengi.
 
Imekuwaje ndani ya mfumo kristo wanaolalamikia kina ponda yeye aongoze au ndio kamezwa na mfumo???
 
du! kumbe p.didy ni tajiri mkubwa maana ana zaid ya hizo
 
Yaani jamaa ana $520 mil. hapa bongo hiii imeniuma kweli -hivi wakina Kimuga,Lyimo,Masanja,Mapunda,Nnko,Nyange hivi mpo wapi mbona uchuuzaji mmeanza zamani-mikakati yoote mara MKUKUTA na ile nyingine MKURABITA imefanya nini-haya jamani ngoja nikae kimya na wivu wangu!

Tajiri namba moja Bongo, namba 2 EA halafu bado anauza ice-ream kwenye vituo vya daladala na chapati za 500/= kama wajasiliamali wadogo wanawake!!
 
Bakhresa kinachomfanya asisikike ni tabia yake ya ukimya,hapendi kujitangaza,lakini jamaa ni philanthropic sana tu,labda na yeye angekua anamiliki media ndo tungejua kasaidia vingapi kwa jamii zetu.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
kweli kabisa,afazal nigeria wamejitaidi matajiri wengi ni mablack,na kenya kidogo,ukija tanzania matajiri wengi ni waarabu na waindi japo ni watz
Kenya tajiri wao mkubwa ni nausha Merali ni Mhindi pia manba 39! so hamna tofauti!
 
Hapa kazi ipo yaani jamaa ame monopolize soko its hard mtu kuanza business ya vyakula kwa haa tz
 
Nchi hii ingelikuwa na wafanya kazi wa serikali hapa nawalenga TRA pia ingelikuwa ni vema wangelitaumbia mwenendo wake wa ulipaji kodi,hata hivyo ni na mashaka kama si mchangiaji mzuri wa CCM kupita mlango wa nyuma hivyo si rahisi kuguswa hata kama ni mkwepa kodi.ila ingefaa pia angelikuwa ni mtu wa kuigwa kwa kulipa kodi na kulipa mishahara inayokidhi haja za wafanya kazi wake sambamba na wanachomzalishia kupitia investment zake.
Zaidi kama utajiri wake hauna walakini basi nami nampongeza sana hasa kila ninapoisikia background yake ukilinganisha na hapo alipo
 
Tajiri namba moja Bongo, namba 2 EA halafu bado anauza ice-ream kwenye vituo vya daladala na chapati za 500/= kama wajasiliamali wadogo wanawake!!

hz ice crean na chapati za TZS 500 ndizo zilizomfikisha hapo alipo,pole na maneno yako ya kasfa KARAGABAHO
 
Hii ni sababu ya mfumo kristo vinginevyo huyu jamaa asingeweza kuwa tajiri kiasi hicho kwa africa...........leo ijumaa tuandamane
 
wakibongo Bana kazi kwelikweli sasa hizo 520 ndo utajiri wakushangaa mbona watu mwanzo zaidi ya hizo tena wamizikimbiza nje hamanzishi tried huyo muhangaikaji utaona aundiwe tume ya uchunguzi ise wewe hufirii kabisa na akiliyako haifanyikazi. fanya utafItI Kabla ya kuumwna na roho Kwanzaa bakhersa anawafanyakazi wangapi Tanzania na biashara wake zinaendesha vip. acha chuki binafsi. roho inakuuma kwa wivu wako na sio lolote zaid
 
Kwani bakhresa mwislam? Kigezo kipi unachukulia? Usidanganyike na jina, kanzu, kofia, kwenda hija, kujenga misikiti nk ndiyo ujue mtu mwislam. Kama vigezo alivyonavyo ni mwislam basi hasara kubwa. Omba Mungu akufunulie yaliyo Makuu kwake.
 
Back
Top Bottom