Said Salim Bakhresa akamata nafasi ya 30 katika orodha ya watu matajiri 40 barani Afrika – Forbes

Said Salim Bakhresa akamata nafasi ya 30 katika orodha ya watu matajiri 40 barani Afrika – Forbes

Utamuonea bure!Umeambiwa anaviwanda hadi nje ya nchi lakini collectively ndiyo anahela ndefu!Kwahiyo usikariri kuwa mapato yake yote yanatokea tanzania maana unawezakukuta kwa investment zake za bongo peke yake wapo wanaomburuza so siajabu kutokuwepo ktk orodha ya walipa kodi bora 20 hapa nchini.

Au kama una-data za kuthibitisha madai yako basi tuwekee jamvini na sisi tujionee.

Huyu bwana ana makampuni mengi na kila kampuni inalipa kodi kisekta(mfano: usafiri wa nchi kavu, ngano, maji, lambalamba, ICD,usafiri wa majin n.k). Lambda TRA wakitoa idadi ya makampuni na jumla ya makusanyo ya kodi kutoka katika makampuni hayo ndo unaweza kujua kiasi anacholipa.
 
Tajiri namba moja Bongo, namba 2 EA halafu bado anauza ice-ream kwenye vituo vya daladala na chapati za 500/= kama wajasiliamali wadogo wanawake!!

Akili ndogo za namna hii ndio zinawafanya muishie kuajiriwa mpaka mnazeeka mnalala barabarani kudai pensheni zenu. Kwa hiyo wewe unaangalia sana ice cream kuliko reputation ya firm yako?

Au hadi afanye mzungu ndio linakuwa jambo la maana?

Cindy - wauza midoli

McDonald - anauza Pizza

Subway - anauza Burger

Burger King - anauza Burger

Tooty - anauza peremende

Tunachotakiwa kufanya ni kumsaidia Bakhresa auze World Wide kama hawa wengine. Au kwenu ilikuwa fahari tuagize juice Afrika Kusini?

Wote hawa wameajiri maelfu ya watu ambao kwa mishahara wanayolipwa wana wake na watoto wajinga kama wewe. Well then, baba yako wewe anauza nini, magari? Hata huyu aliyekupa like ana ubongo kama wako, nihurumieni jamani nachoka kutukana mie, pambaf!
 
unaweza ukawa uko sahihi, swali: Je, analipa kodi sahihi?
maana kama kweli yeye ni milionea wa bongo tuone na kodi yake basi vinginevyo naye ni mwizi kama wengine tu!!!! kumbuka simuonei wivu

Angekuwa na senti chache usingesema yote hayo, shida yetu ni kumdhania vibaya kila aliyefanikiwa.

By the way, Bakhresa anauza mostly food products ambazo hazina kodi. Kodi ulizia na kwa wadogo pia, kila mtu anatakiwa alipe kodi sio Bakhresa tu
 
Huyu yuko kwenye ten ya walipa kodi?

Msalimie majany, huyo aliyekudunda like. Mwambie regards kutoka kwa Mwana Mtoka Pabaya. Tell the fellow to think before acknowledge ones thinking. Serikali inetoza kodi kwenye NGANO na SEMBE tungeshapigana vita. Bakhresa anauza mostly vyakula

Tuachage haya majungu madogo madogo, kodi tulipeni wote. Sekta isiyo rasmi ingelipa kodi nchi hii, hakika mafisadi wangeiba lkn tusingejua kwa kuwa zingekuwepo nyingi mara 8 zaidi ya tulizonazo
 
Last edited by a moderator:
Tajiri namba moja Bongo, namba 2 EA halafu bado anauza ice-ream kwenye vituo vya daladala na chapati za 500/= kama wajasiliamali wadogo wanawake!!

Duuh, ndugu yangu unakatisha tamaa kweli kwa mtazamo wako! Kwa hiyo mpaka auze tanzanite ndiyo utamkubali?
 
Tajiri namba moja Bongo, namba 2 EA halafu bado anauza ice-ream kwenye vituo vya daladala na chapati za 500/= kama wajasiliamali wadogo wanawake!!
Na hapo ndipo anapokugia bao. Wewe na mzazi wako mna nini?
 
Natalia ulitakiwa umwige Bakhresa. No Kujisifia. Be humble. Tajiri halisi hajisifii. Tajiri uchwara ndio kila siku kelele. Umemwona Bill Gates akipayuka? Bakhresa hana mipayuko wala misifa uchwara
 
Hivi kwenye forbes si kuna criterias nyingi za ku consider ili wakuingize kwenye list yao?,nadhani na hiyo pia ni moja wapo,sidhani kama wazungu kwao wanaweza kufanyiwa hivyo unavyodai ni u capitalism,ndio maaana wanakimbilia huku kwetu kusiko na sheria na kwa wale wasio jua haki zao ili ku implement huo u capitalism wao,ndio Cheap labour Yenyewe hii?
 
Watakuwa wanamuonea Mengi, nasikia ana pesa kama njugu. Tajiri wa Kaskazini.

There is always something behind what comes from your dirty mouth.

Yawezekana Bakhresa ameandikwa katika Forbes, lakini Reginald Mengi ameandikwa kwenye mioyo ya watu kwa jinsi alivyo mwepesi wa kutoa misaada kwa wahitaji na maendeleo.
 
Msalimie majany, huyo aliyekudunda like. Mwambie regards kutoka kwa Mwana Mtoka Pabaya. Tell the fellow to think before acknowledge ones thinking. Serikali inetoza kodi kwenye NGANO na SEMBE tungeshapigana vita. Bakhresa anauza mostly vyakula

Tuachage haya majungu madogo madogo, kodi tulipeni wote. Sekta isiyo rasmi ingelipa kodi nchi hii, hakika mafisadi wangeiba lkn tusingejua kwa kuwa zingekuwepo nyingi mara 8 zaidi ya tulizonazo

corporate tax!!!hta uuze juice ya nyanya chungu utailipa!!
 
Last edited by a moderator:
yani huyu jamaa simuoni ktk mambo ya kijamii mfano kujenga shul,hospital nk
alafu hata kwenye list ya walipa kodi wazuri hayupo
utazani utajiri wake wa mapepo
hapo ndo simuelewagi huyu tajiri asiye enda shule
sijui wenzangu mnamuonaje huyu tajiri wa kitanzania ?

Acha kukariri, kusoma sana si lazima uwe tajiri, kwani hata wamiliki wa facebook, google na Microsoft waliacha shule, kwa maana si wasomi lakini leo ndo wanaotikisa dunia kwa utajiri......ni wewe humuoni katika shughuli za kijamii lakni anafanya makubwa kuliko hao wanaotoa michango ya elfu kumi kumi na kuita media zote nchini kufanya coverage.....yeye misaada yake ni mikubwa sana lakini anafanya kimya kimya hapendi publicity...kama yeye mwenyewe asivopenda kuonekana kwenye media
 
Tajiri namba moja Bongo, namba 2 EA halafu bado anauza ice-ream kwenye vituo vya daladala na chapati za 500/= kama wajasiliamali wadogo wanawake!!

Mkuu Mwanamayu: Biashara ndogo ndogo kama hizo ambazo watu wanazarau zinalipa kweli.
 
Ni utajiri unaoletwa na majini, hali akazifurahia pesa zake. Masharti kibao

DAH,,NDUGU NAKUHURUMIA SANA NA ULIMBUKENI HUU ULIOKUZONGA

POLE SANA,,NINI KIMEKUSIBU??

KUKOSA SHULE AU CHUKI BINAFSI??
😛layball:
 
Msalimie majany, huyo aliyekudunda like. Mwambie regards kutoka kwa Mwana Mtoka PabayaSerikali inetoza kodi kwenye NGANO na SEMBE tungeshapigana vita. Bakhresa anauza mostly vyakula
Unaelewa madhumuni ya msamaha wa kodi kwenye bidhaa fulani ni yapi? Na unaelewa umuhimu wa kodi?

Ungepigana kwasababu serikali imejenga zahanti kwa kodi anayolipa Bakhresa au kwa sababu Bakhresa hayupo kwenye Forbes!!!
 
Last edited by a moderator:
Naomba mwenye cv ya huyu mzee aimwage jamvini.
_DSC0775.JPG
 
Back
Top Bottom