Utamuonea bure!Umeambiwa anaviwanda hadi nje ya nchi lakini collectively ndiyo anahela ndefu!Kwahiyo usikariri kuwa mapato yake yote yanatokea tanzania maana unawezakukuta kwa investment zake za bongo peke yake wapo wanaomburuza so siajabu kutokuwepo ktk orodha ya walipa kodi bora 20 hapa nchini.
Au kama una-data za kuthibitisha madai yako basi tuwekee jamvini na sisi tujionee.
Huyu bwana ana makampuni mengi na kila kampuni inalipa kodi kisekta(mfano: usafiri wa nchi kavu, ngano, maji, lambalamba, ICD,usafiri wa majin n.k). Lambda TRA wakitoa idadi ya makampuni na jumla ya makusanyo ya kodi kutoka katika makampuni hayo ndo unaweza kujua kiasi anacholipa.