Kanali G
JF-Expert Member
- Oct 21, 2013
- 9,898
- 14,413
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Saida karoli huyu.mama kiukwel makuu kwake yamempita kushotoMaskini huyo anayetaka kumuua Saidi mtu mwenyewe hana makuu na mtu anapambana na hali yake maskini hata akifanyiwa interview unaona kabisa Saida hana makuu na ujuaji yani yuko level ya kawaida sa unampa stress za nini
Wimbo wake wala hajamzungumzia mtu kwa namna yoyote ile ya ubaya
Ben saa 8.mlisema hivyo hivyo.wengine mkaenda mbali zaidi kwamba KAJITEKA.HAHAHAHAHA achana na kiki Mama..mziki wako ni mzuri walio kushauri mambo ya kiki sikunyingine wakatalie...
[emoji1] [emoji1] [emoji1] .RB zenyewe za bongo?utapewa tu kikaratasi.SIO ULINZI,kachukue rb mama achana na media
Utafikiri sio NshomileSaida karoli huyu.mama kiukwel makuu kwake yamempita kushoto
hicho kitatusaidia ushahidi[emoji1] [emoji1] [emoji1] .RB zenyewe za bongo?utapewa tu kikaratasi.SIO ULINZI,
Sent using Jamii Forums mobile app
😀 mbavu zangu hatari saanaHalafu mnataka Africa iendelee; Haiwezi kuendelea kwa huu upumbafu wa kurudishana nyuma kimaendeleo... Ukisha muuwa whats next???
Yaaani kuna matumbo ya wamama wengine yalibeba viumbe vya ajabu sana.....
Poleni sana wanawake wote duniani....
Kasha kula hela ya watu analeta longo longo la kujidai katishwa..huyo anayemtishia na yeye ni mwehu...kwa huo wimbo mmoja ambao unapigwa clouds tu!!!
labda kama kuna lingine....lakini kwenye mziki hajarudi chochote!!
Tena kiki ya kipumbavuu...HAHAHAHAHA achana na kiki Mama..mziki wako ni mzuri walio kushauri mambo ya kiki sikunyingine wakatalie...