Saidi Ntibazonkiza (Saido) ndiye mchezaji wa Timu ya Taifa Afcon MZEE KULIKO WOTE

Saidi Ntibazonkiza (Saido) ndiye mchezaji wa Timu ya Taifa Afcon MZEE KULIKO WOTE

Umri is just numbers, Messi na Ronaldo bado wanatupia tu as if wana 23. Twende mzee mwenzetu hadi 43, wavimbe wapasuke we endelea kutupia.
 
Na ndiye mfungaji bora wa PL yetu mwaka jana, ligi ambayo ni ya tano kwa ubora Africa kama takwimu zinavyosema.

IMG_4954.png
 
Umri is just numbers, Messi na Ronaldo bado wanatupia tu as if wana 23. Twende mzee mwenzetu hadi 43, wavimbe wapasuke we endelea kutupia.
Kama Madaraka Selemani 'Mzee wa Kiminyio'. Alitambaza soka at his 40+ kwa kiwango kikubwa kuzidi hawa wonder kids wenu wenye mikimbio mizuri.
 
Back
Top Bottom