Saidi Ntibazonkiza (Saido) ndiye mchezaji wa Timu ya Taifa Afcon MZEE KULIKO WOTE

Saidi Ntibazonkiza (Saido) ndiye mchezaji wa Timu ya Taifa Afcon MZEE KULIKO WOTE

umri sio kigezo kivile.. Mali ikiwepo mguuni na ukajitunza vyema mpira unagusa hata ukiwa na 48
 
Kuwa na umri mkubwa siyo lazima uwe mzee.

Utakuwa mtoto wewe.
Umri ndio kigezo pekee cha rika . Yaani mtoto, kijana, mtu mzima na mzee. Na katika ulimwengu wa Soka ukiwa na miaka 35 utaitwa mzee. Kwahiyo saido kwa umri wa miaka 36 huyo ni babu tu, na ukute alidanganya umri, ukimuangalia vizuri atakuwa na miaka 42.
 
Kwani kuna kikomo cha umri huko kwenye hayo mashindano
 
Back
Top Bottom