Saido akwama, Simba wakwama ufungaji bora

Ufafanuzi umetolewa, bodi ya league na TFF ndo itaenda kukaa na kuamua kanuni ipi itumikee, huvyo wadau wa soka wakae kwa utulivu.
 
Nendeni mkashitaki FIFA
 
Ime fikia hatua makolo mna lilia kiatu[emoji81][emoji81][emoji81]
 
Ufafanuzi umetolewa, bodi ya league na TFF ndo itaenda kukaa na kuamua kanuni ipi itumikee, huvyo wadau wa soka wakae kwa utulivu.
Si Utopolo hapa wameshaanza heka heka zao kama jana walivyokuwa wanatuhangaisha na dau la Feisal kuuzwa Azam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…