Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,186
- 13,757
Yani jana nilicheka sana warikuwa wanakanyagana kila mtu alikuwa anakuja na figure yake.Sasa hivi kaambiwa aweke dau kama Saido atakosa kiatu amebaki anaruka ruka tuUnaanzaje kumuamini mtu anaekurupuka