Saido akwama, Simba wakwama ufungaji bora

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hata kama ni uongo ila makolo yanateseka Sana na hii post

Ila ukweli ni kwamba kiatu kinaenda YANGA kama mnabusha makolo andamaneni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa mkuu
 
Utani tu mkuu

Anyway.....swala la bandari liko owky

I'n Capitalist perspectives....l

Hakuna serikali inayofanya biashara......but kazi.ya serikali ni kutengeneza mazingira mazuri Kwa private entities
Ndio iwe miaka mia Mkuu?
 
Striker wa Simba ana magoli mangapi?
Maana huyu wa Yanga ni galasa kabisa.
Achana na utimu...tuongee mpira, Striker gani bongo msimu huu ameimbwa na kusifiwa kama mayele??
Halafu ishu ya bandari imefikia wapi?
 
Achana na utimu...tuongee mpira, Striker gani bongo msimu huu ameimbwa na kusifiwa kama mayele??
Halafu ishu ya bandari imefikia wapi?
Tuongelee Bandari Tu mpira hauna issue . Mama anaupiga kizenji Tu
 
Achana na utimu...tuongee mpira, Striker gani bongo msimu huu ameimbwa na kusifiwa kama mayele??
Halafu ishu ya bandari imefikia wapi?
Wachezaji makolo walinaswa .... mazoezini wanatetema in mayele style[emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…