Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa mkuu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hata kama ni uongo ila makolo yanateseka Sana na hii post
Ila ukweli ni kwamba kiatu kinaenda YANGA kama mnabusha makolo andamaneni [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kama striker wa Simba haonekani Mayele afanyaje?Quality striker analingana magoli na midfielder?
Halafu Ishu ya bandari imefikia wapi?
Kama unavyo waza weweHuuu ni uongo mtupu, kwa kanuni za TFF hao wote wanapewa kiatu...tatizo mnawaza kwa kutumia makalio
Toa Magoli 6 ya penaltyNendeni mkashitaki FIFA View attachment 2651430
Ndio iwe miaka mia Mkuu?Utani tu mkuu
Anyway.....swala la bandari liko owky
I'n Capitalist perspectives....l
Hakuna serikali inayofanya biashara......but kazi.ya serikali ni kutengeneza mazingira mazuri Kwa private entities
Kabisa..... hata Mayelle aliwahi kukosaKwan wewe unaweza kosa penalty
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wapuuzeni.Si Utopolo hapa wameshaanza heka heka zao kama jana walivyokuwa wanatuhangaisha na dau la Feisal kuuzwa Azam.
Lete wee hiyo sheria hapa.Rejea sheria
Achana na utimu...tuongee mpira, Striker gani bongo msimu huu ameimbwa na kusifiwa kama mayele??Striker wa Simba ana magoli mangapi?
Maana huyu wa Yanga ni galasa kabisa.
Tuongelee Bandari Tu mpira hauna issue . Mama anaupiga kizenji TuAchana na utimu...tuongee mpira, Striker gani bongo msimu huu ameimbwa na kusifiwa kama mayele??
Halafu ishu ya bandari imefikia wapi?
Una evidence? Au ni hearsay tuWachezaji makolo walinaswa .... mazoezini wanatetema in mayele style[emoji38]