OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Umesahau enzi hizo alipokuwa Yanga ulikuwa unasemaje?View attachment 2464160
Uwezo wa Saido hauhitaji uchambuzi mwiiiiiiiingi. Sitaki kujiba kazi ya kuchambua, kama unataka uchambuzi chambua mwenyewe. Mimi nakuwekea sinema tu. Kwa wewe ambaye hukumuona jana basi jionee,maana unaweza kupotoshwa na haters.
Ukiangalia kwa jicho lisilo na husda utakubaliana na mimi kuwa Saido mmoja ni sawa na foward yote ya Yanga.
Ni jambo la afya kuona wachezaji wa Yanga wamekataa kuwa wanafiki, wamesema "Shikamoo Saido". Kuanzia Mayele, Farid, Aucho, Boxer, Sure Boy
Huu usajili nakumbuka wa kwanza kuubeza ulikuwa ni wewe. Kumbukumbu ninazo, ila nilikukatalia nikakwambia Saido ni mzuri ataisaidia sana Simba. Unakumbuka?
View attachment 2464160
Uwezo wa Saido hauhitaji uchambuzi mwiiiiiiiingi. Sitaki kujiba kazi ya kuchambua, kama unataka uchambuzi chambua mwenyewe. Mimi nakuwekea sinema tu. Kwa wewe ambaye hukumuona jana basi jionee,maana unaweza kupotoshwa na haters.
Ukiangalia kwa jicho lisilo na husda utakubaliana na mimi kuwa Saido mmoja ni sawa na foward yote ya Yanga.
Ni jambo la afya kuona wachezaji wa Yanga wamekataa kuwa wanafiki, wamesema "Shikamoo Saido". Kuanzia Mayele, Farid, Aucho, Boxer, Sure Boy
Achana na alipokuwa Yanga, hata juzi aliposajiliwa nilimkubali kwa shingo upandeUmesahau enzi hizo alipokuwa Yanga ulikuwa unasemaje?
Ndio nakumbuka. Si hata week haijaishaHuu usajili nakumbuka wa kwanza kuubeza ulikuwa ni wewe. Kumbukumbu ninazo, ila nilikukatalia nikakwambia Saido ni mzuri ataisaidia sana Simba. Unakumbuka?
Mpe methali hii huyu Nabi wakoNipo na na kocha naby fundi la mpira nilipomuonesha post hii amecheeka Sana
Ila ameniacha na methali hii nimetafsiriwa Kutoka kiarabu
GANDA LA MUWA LA JANA CHUNGU KAONA KIVUNO
Alisha sema kuwa familia yake na ndugu zake wengi ni washabiki wa kubwa wa simba na walitamani siku moja wamuone akicheza simba... hivyo ndoto yake na ndugu zake imetimia tena kwa kishindo kikuu...Wakati huyo ni zao letu ! Sana sana mtushukuru..tena nyamazeni tutamrudisha si mnajua bado ana mapenzi na timu yake?
Achana na alipokuwa Yanga, hata juzi aliposajiliwa nilimkubali kwa shingo upande
Kupitia haya maelezo yako; ukiitwa mbumbumbu, utafurahi au utakasirika?Ndio nakumbuka. Si hata week haijaisha
Umbumbumbu wa nini wakati amekubali kwamba ni kweli alikuwa hamkubali na sasa amebadili mtizamo wakeKupitia haya maelezo yako; ukiitwa mbumbumbu, utafurahi au utakasirika?
Zao lenu kivipi wakati alitoka ulaya akiwa kwenye moto wake hata aliposajiliwa hapo utopoloni kwa fedha kiduchu alafanya makubwa kwa roho zenu mbaya na mtu wa watu hapendi mambo ya majini na kuogeshana maji ya maiti akamua akimbieWakati huyo ni zao letu ! Sana sana mtushukuru..tena nyamazeni tutamrudisha si mnajua bado ana mapenzi na timu yake?
Ukweli Saido alichoshindwana na gongowazi ni kukataa kulambishwa yai viza katika mambo yao ya kishirikina.Zao lenu kivipi wakati alitoka ulaya akiwa kwenye moto wake hata aliposajiliwa hapo utopoloni kwa fedha kiduchu alafanya makubwa kwa roho zenu mbaya na mtu wa watu hapendi mambo ya majini na kuogeshana maji ya maiti akamua akimbie
Mkadhalilisha sana etu ni mtovu wa nidhan kumbe alikataa kuoga maji ya maiti
Na hii ndiyo sifa mojawapo sasa ya kuitwa mbumbumbu. Leo Matola, anafaa! Kesho Matola hafai! Leo Kepten John Bocco hafai! Kesho anafaa! Leo Saidoo hafai! Keshi anafaa!!Umbumbumbu wa nini wakati amekubali kwamba ni kweli alikuwa hamkubali na sasa amebadili mtizamo wake
Akili aitoe wapi huyu bwege. Wao huona dhambi kubadili mtazamo.Umbumbumbu wa nini wakati amekubali kwamba ni kweli alikuwa hamkubali na sasa amebadili mtizamo wake
Unatakiwa upewe tuzo ya unafki ni specialist wa unafkiAchana na alipokuwa Yanga, hata juzi aliposajiliwa nilimkubali kwa shingo upande
Mchezaj akiwa yanga hafai Ila huyo huyo akienda Simba ni bonge ya mchezaj ikitokea kwa Morrison na sasa saido katika vitu wanavyoongoza watanzania ni unafkiNa hii ndiyo sifa mojawapo sasa ya kuitwa mbumbumbu. Leo Matola, anafaa! Kesho Matola hafai! Leo Kepten John Bocco hafai! Kesho anafaa! Leo Saidoo hafai! Keshi anafaa!!
Hizi ndizo sifa kuu sasa za mashabiki mbumbumbu. Ukigeugeu.