Saido mmoja ni sawa na foward nzima ya Yanga

Saido mmoja ni sawa na foward nzima ya Yanga

Ukweli Saido alichoshindwana na gongowazi ni kukataa kulambishwa yai viza katika mambo yao ya kishirikina.
Kama vile gadiel Michael alivyofungiwa juzi kwa mambo hayo hayo ya kushirikina, au Simba ilipopigwa fine na CUF kwa kuwasha ubani uwanjani
 
Mchezaj akiwa yanga hafai Ila huyo huyo akienda Simba ni bonge ya mchezaj ikitokea kwa Morrison na sasa saido katika vitu wanavyoongoza watanzania ni unafki
Morisson tumempiga kibuti nyie huko ni lulu usijitoe ufahamu
 
Zao lenu kivipi wakati alitoka ulaya akiwa kwenye moto wake hata aliposajiliwa hapo utopoloni kwa fedha kiduchu alafanya makubwa kwa roho zenu mbaya na mtu wa watu hapendi mambo ya majini na kuogeshana maji ya maiti akamua akimbie
Mkadhalilisha sana etu ni mtovu wa nidhan kumbe alikataa kuoga maji ya maiti
Kama Simba walivyowasha moto wa ubani kule south Africa
 
Zao lenu kivipi wakati alitoka ulaya akiwa kwenye moto wake hata aliposajiliwa hapo utopoloni kwa fedha kiduchu alafanya makubwa kwa roho zenu mbaya na mtu wa watu hapendi mambo ya majini na kuogeshana maji ya maiti akamua akimbie
Mkadhalilisha sana etu ni mtovu wa nidhan kumbe alikataa kuoga maji ya maiti
Hivi tukiilinganisha Yanga na simba kwenye hicho kitengo cha ushirikina; nani atatangazwa mshindi saa 2 tu asubuhi?

Tuanzie kwenye lile tukio la kuingia na paka uwanjani kwenye mechi na Platinum, kuwasha moto uwanjani kule Afrika ya Kusini, Gadiel michael kuingia uwanjani saa 4 asubuhi ili kuweka mambo sawa, nk.
 
Mchezaj akiwa yanga hafai Ila huyo huyo akienda Simba ni bonge ya mchezaj ikitokea kwa Morrison na sasa saido katika vitu wanavyoongoza watanzania ni unafki
Morisson wa simba alikuwa fire sana na ameisaidia sana simba,sasa morisson wa yanga anarukaruka tu
 
Hivi tukiilinganisha Yanga na simba kwenye hicho kitengo cha ushirikina; nani atatangazwa mshindi saa 2 tu asubuhi?

Tuanzie kwenye lile tukio la kuingia na paka uwanjani kwenye mechi na Platinum, kuwasha moto uwanjani kule Afrika ya Kusini, Gadiel michael kuingia uwanjani saa 4 asubuhi ili kuweka mambo sawa, nk.
Na hayo matukio yote uliyoyataja yametokea wazi wazi kila mtu anaona
 
View attachment 2464160

Uwezo wa Saido hauhitaji uchambuzi mwiiiiiiiingi. Sitaki kujiba kazi ya kuchambua, kama unataka uchambuzi chambua mwenyewe. Mimi nakuwekea sinema tu. Kwa wewe ambaye hukumuona jana basi jionee, maana unaweza kupotoshwa na haters.

Ukiangalia kwa jicho lisilo na husda utakubaliana na mimi kuwa Saido mmoja ni sawa na foward yote ya Yanga.

Ni jambo la afya kuona wachezaji wa Yanga wamekataa kuwa wanafiki, wamesema "Shikamoo Saido". Kuanzia Mayele, Farid, Aucho, Boxer, Sure Boy
Pambaffffffff
 
Ukiwa kwenye timu mbovu utaonekana mbovu tu,Ronaldo au messi akija yanga atachemsha tu
Timu mbovu inachukua ubingwa wa ligi kuu, na ule wa kombe la Shirikisho! Mnaangalia tu.

Timu mbovu inawafunga mara 2 kwenye Ngao ya jamii! Timu mbovu mkicheza nayo, ni kipigo tu; au mkijitahidi basi ni kutoa sare! Kama Yanga ni timu mbovu, basi simba itakiwa ni timu bovu.
 
Kwani lazima acheze Yanga? huko alipo pia ni timu unataka wachezaji wazuri wote wawe Yanga peke yake?
 
Saido Ni Mchezaji Mzuri...Yanga ilifanya Makosa kumuacha, na kumsajili Makambo...Saido ni Fundi wa Mpira.
 
Back
Top Bottom