Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,617
- 10,205
Kama vile gadiel Michael alivyofungiwa juzi kwa mambo hayo hayo ya kushirikina, au Simba ilipopigwa fine na CUF kwa kuwasha ubani uwanjaniUkweli Saido alichoshindwana na gongowazi ni kukataa kulambishwa yai viza katika mambo yao ya kishirikina.
Morisson tumempiga kibuti nyie huko ni lulu usijitoe ufahamuMchezaj akiwa yanga hafai Ila huyo huyo akienda Simba ni bonge ya mchezaj ikitokea kwa Morrison na sasa saido katika vitu wanavyoongoza watanzania ni unafki
Kama Simba walivyowasha moto wa ubani kule south AfricaZao lenu kivipi wakati alitoka ulaya akiwa kwenye moto wake hata aliposajiliwa hapo utopoloni kwa fedha kiduchu alafanya makubwa kwa roho zenu mbaya na mtu wa watu hapendi mambo ya majini na kuogeshana maji ya maiti akamua akimbie
Mkadhalilisha sana etu ni mtovu wa nidhan kumbe alikataa kuoga maji ya maiti
Mkataba wake ulikua unaishi alafu unasema mmepiga vibuti kwa nin mnapenda kudanganywa na viongozi wenu hivi unaakili kweliMorisson tumempiga kibuti nyie huko ni lulu usijitoe ufahamu
Mumesahau mlivyokuwa mnalilia release letter toka Simba? Wacha upumbavuMkataba wake ulikua unaishi hivi unaakili kweli
We kolo umepewa uplatinum member kweli jf imechokaAchana na alipokuwa Yanga, hata juzi aliposajiliwa nilimkubali kwa shingo upande
Mmegoma kutoa release clause Ila Yanga wamemchukua bureMumesahau mlivyokuwa mnalilia release letter toka Simba? Wacha upumbavu
Ukiwa kwenye timu mbovu utaonekana mbovu tu,Ronaldo au messi akija yanga atachemsha tuUmesahau enzi hizo alipokuwa Yanga ulikuwa unasemaje?
Hivi tukiilinganisha Yanga na simba kwenye hicho kitengo cha ushirikina; nani atatangazwa mshindi saa 2 tu asubuhi?Zao lenu kivipi wakati alitoka ulaya akiwa kwenye moto wake hata aliposajiliwa hapo utopoloni kwa fedha kiduchu alafanya makubwa kwa roho zenu mbaya na mtu wa watu hapendi mambo ya majini na kuogeshana maji ya maiti akamua akimbie
Mkadhalilisha sana etu ni mtovu wa nidhan kumbe alikataa kuoga maji ya maiti
Yanga timu mbovu inayoongoza ligi Ila Tanzania mtaji wa wajinga ni mkubwaUkiwa kwenye timu mbovu utaonekana mbovu tu,Ronaldo au messi akija yanga atachemsha tu
Morisson wa simba alikuwa fire sana na ameisaidia sana simba,sasa morisson wa yanga anarukaruka tuMchezaj akiwa yanga hafai Ila huyo huyo akienda Simba ni bonge ya mchezaj ikitokea kwa Morrison na sasa saido katika vitu wanavyoongoza watanzania ni unafki
Na hayo matukio yote uliyoyataja yametokea wazi wazi kila mtu anaonaHivi tukiilinganisha Yanga na simba kwenye hicho kitengo cha ushirikina; nani atatangazwa mshindi saa 2 tu asubuhi?
Tuanzie kwenye lile tukio la kuingia na paka uwanjani kwenye mechi na Platinum, kuwasha moto uwanjani kule Afrika ya Kusini, Gadiel michael kuingia uwanjani saa 4 asubuhi ili kuweka mambo sawa, nk.
Endelea kujifariji inarusiwaMorisson wa simba alikuwa fire sana na ameisaidia sana simba,sasa morisson wa yanga anarukaruka tu
PambaffffffffView attachment 2464160
Uwezo wa Saido hauhitaji uchambuzi mwiiiiiiiingi. Sitaki kujiba kazi ya kuchambua, kama unataka uchambuzi chambua mwenyewe. Mimi nakuwekea sinema tu. Kwa wewe ambaye hukumuona jana basi jionee, maana unaweza kupotoshwa na haters.
Ukiangalia kwa jicho lisilo na husda utakubaliana na mimi kuwa Saido mmoja ni sawa na foward yote ya Yanga.
Ni jambo la afya kuona wachezaji wa Yanga wamekataa kuwa wanafiki, wamesema "Shikamoo Saido". Kuanzia Mayele, Farid, Aucho, Boxer, Sure Boy
Timu mbovu inachukua ubingwa wa ligi kuu, na ule wa kombe la Shirikisho! Mnaangalia tu.Ukiwa kwenye timu mbovu utaonekana mbovu tu,Ronaldo au messi akija yanga atachemsha tu
[emoji23][emoji23] tafta point 6 kwanza uje tuongee face to faceUkiwa kwenye timu mbovu utaonekana mbovu tu,Ronaldo au messi akija yanga atachemsha tu
Mchezaji mzuri hua haachwi?Saido Ni Mchezaji Mzuri...Yanga ilifanya Makosa kumuacha, na kumsajili Makambo...Saido ni Fundi wa Mpira.