Umelinganisha katika nyanja ipi? Kinidhamu au kiuwezo uwanjani? Kama kinidhamu upo sahihi ila kama kiuwezo basi haupo sahihi. Morrison ni mchezaji anayefosi kukupa matokeo kwa namna yoyote ile.Ila tukiacha ushabiki, Yanga hapa hawakutumia kabisa akili. Unamuacha Saido unamchukua Morison?
Mie ananiboa mnoo, mabao mengi anatukosesha sana huyu, ajue kuwa anaipambania team sio kujipambania yeye.Sijawahi ona faida yake huyo jamaa zaidi ya kuzurura tu
Walikua wanatukomoa Simba bila kujua inakuwa kwaoIla tukiacha ushabiki, Yanga hapa hawakutumia kabisa akili. Unamuacha Saido unamchukua Morison?
Hii tabia inahamahama...alikuwa nayo Sakho amepunguza imezidi kwa TibaUkweli usemwe, Ntibanzokiza aache uchoyo na ubinafsi, kuna mabao anatukosesha akati km angetoa pasi inakua kambaa, ila yeye analazimisha afunge yeye anaishia kupokonywa na kuharibu movemen...
Aaah we jamaa kumbe upo?Umelinganisha katika nyanja ipi? Kinidhamu au kiuwezo uwanjani? Kama kinidhamu upo sahihi ila kama kiuwezo basi haupo sahihi. Morrison ni mchezaji anayefosi kukupa matokeu kwa namna yeyote ile.
Silenzio brunoIla tukiacha ushabiki, Yanga hapa hawakutumia kabisa akili. Unamuacha Saido unamchukua Morisson?
Raha ya Yanga huwezi kuona pengo la saidoo japo ni mhimili huko kwenu,na hapo ndio tunapotofautianaIla tukiacha ushabiki, Yanga hapa hawakutumia kabisa akili. Unamuacha Saido unamchukua Morisson?
Rage atakumbukwa daima. Yanga walishasema kuwa Saidoo ni mchezaji mzuri sana ila hawawezi ku-meet demands zake. Pia jamaa ana 'makuu'. Kukaa nae ni sawa na kutembea na nyoka mfukoni.Saidoo aliachwa na Yanga kwa mazingira sawa na yale aliyoachwa Morrison Simba.
Ila Saido anaonekana kuwa tegemeo kwa club yake tofauti na Morisson.
Ilikuwaje Morrison kupewa tena mkataba wakati mambo yake yanajulikana maana sisi ndio tuliomleta mjini.
Au ndio ule usemi wa Haji Manara kuwa Jangwani wenye akili wawili tu
Kwani Morison anacheza bure?Raha ya Yanga huwezi kuona pengo la saidoo japo ni mhimili huko kwenu,na hapo ndio tunapotofautiana
Kwani kuna kilichopungua kwa kutokuwepo saido? Timu aishindi? Au mnatafuta kichaka baada ya kushiba makande? Nani kawaambia yanga inatetereka ata asipokuwepo mchezaji mmoja?Saidoo aliachwa na Yanga kwa mazingira sawa na yale aliyoachwa Morrison Simba.
Ila Saido anaonekana kuwa tegemeo kwa club yake tofauti na Morisson...
Nionyeshe pengo la saidoo pale yanga alafu ndio tunaweza kukuelewa otherwise unampigia debe tupuIla tukiacha ushabiki, Yanga hapa hawakutumia kabisa akili. Unamuacha Saido unamchukua Morisson?