Umeona ee! Mimi namuona kama mfurukutaji tu. Sijui kwanini Simba hawamfanyii substitution.Ukweli usemwe, Ntibanzokiza aache uchoyo na ubinafsi, kuna mabao anatukosesha wakati kama angetoa pasi inakuwa kambaa, ila yeye analazimisha afunge yeye anaishia kupokonywa na kuharibu movement.
Na ulengaji wake wa bao awee anatazama na angle sio kupiga tyuuh,
Mie ananikera kwa kweli. Khaaa