Saido Ntibanzokiza vs Benard Morisson, Manara alikuwa sahihi. Yanga tuna shida

Saido Ntibanzokiza vs Benard Morisson, Manara alikuwa sahihi. Yanga tuna shida

Saido alikuwa kwenye mipango ya kuuza mechi kwa Simba ndio maana aliondolewa na viongozi wakampiga chini..... Saido alishakuwq kirusi mapemaaaa hata usajiri wake kwenda Geita ulikuwa geresha ndio maana baada ya geita kuelekea kucheza na Simba akalazimisha kupewa red card... Zeee halina akili hilo😅
 
Saido anapambana sana uwanjani sema aache tabia ya kuperuzi twitter za Cyancute Haya watoto wameshalala🤣🤣🤣
🤣🤣 halafu bdae anakupostia ujumbe mjuzi ni allah tu
 
Back
Top Bottom